Jibu kama mtu ambaye UNATAKA ila unajifanya HUTAKI

Mmesha katazwa kuwachosha watoto wa mama mwenyenyumba eti umekuwa wangapi inahusiana nini na ugali!We kula sepa mambo ya sijui unaandika au kalamu yako iko wapi yanatoka wapi?Tusichoshane
"Aaah shemeji kwa vile ni wewe ngoja tu Leo nitie baraka...unajua sio vizuri kukataa chakula"..halafu muda huo unamuita mtoto wake unamuuliza.."uncle umekua wangapi safari hii"?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…