Jibu kama mtu ambaye UNATAKA ila unajifanya HUTAKI

dvj nasmiletz

JF-Expert Member
Jul 23, 2018
2,020
2,156
ningejibu"nilitaka niwahi nikaangalie tamthilia ya SULTANI...ila ngoja tu niangalie hapahapa sikujua kama una kingamuzi cha azamu"
FB_IMG_15602648561300332.jpeg
 
Mmesha katazwa kuwachosha watoto wa mama mwenyenyumba eti umekuwa wangapi inahusiana nini na ugali!We kula sepa mambo ya sijui unaandika au kalamu yako iko wapi yanatoka wapi?Tusichoshane
"Aaah shemeji kwa vile ni wewe ngoja tu Leo nitie baraka...unajua sio vizuri kukataa chakula"..halafu muda huo unamuita mtoto wake unamuuliza.."uncle umekua wangapi safari hii"?
 
7 Reactions
Reply
Back
Top Bottom