goodluckgunda
Member
- Feb 2, 2009
- 44
- 133
Ndio ndugu unakuwa wakala wa MobistockMkuu umeniacha kidogo yaan nakua wakala au?
Karibu sana ndugu, Wajulishe jamaa, ndugu, na marafiki kuhusiana na fursa hii ya Mobistock pia nao wapate kuchangamkiaasante mkuu, ngoja nitafute huo mtaji nichangamkie fursa
Hiyo menu(*150*33#) kama sio wakala huwezi kuingia???
Asante kwa hiyo ili nisajiliwe inabid nitume details kwenye hizo number ulizozitaja hapo juu ndipo naweza kuingia kwenye MENU??Unaweza kuitumia ila huto fika mbali itakudai uingize "agent Id" ambayo ni lazima usajiliwe kuwa wakala ili uweze kuendelea ndugu
Asante kwa hiyo ili nisajiliwe inabid nitume details kwenye hizo number ulizozitaja hapo juu ndipo naweza kuingia kwenye MENU??
mtaji ni tshs. 10,000 au zaidi unapo anza kazi baada ya hapo unaweza kuweka kiasi chochote kile kulingana na wateja wako wanavyo ingia dukani kwako kujipatia huduma.Mmmmmmh! Mbona mtaji mkubwa hivo.
Hii ni kampuni imesajiliwa, wamekuja na mfumo hi..
Tumia simu yako ya kiganjani, laini yako binafsi ya kila siku na mtaji mmoja kwa kujiajiri kama Wakala au matumizi binafsi. Utaweza kutoa huduma hizi;
1. Kuuza / kununua vocha za kurusha (voda, tigo, airtel, zantel, smart na halotel)
2. Kuuza/ kulipia Muda wa maongezi na vifurushi vya internet kwa mtandao (Tigo) na (Zantel)
3. Kuuza/ kulipia Azam, DSTV, Startimes, Smile na box office.
4. Huduma ya LUKU ipo kwenye maboresho * aliyesajiliwa atajulishwa ikirejea.
Kamisheni
i.vocha 4% - 5.2%
ii. startimes 10%
iii. azam & smile 1%
iv. Dstv 2%
Ili Kusajiliwa;
i. Unatakiwa uwe na salio la kianzio (kusajiliwa +mtaji) tshs. 11,500/= kwa tigo au airtel, na voda Tshs. 10,000/= ambapo utakatwa tshs. 500/= tu ili kusajiliwa na kinacho bakia utaanza nacho biashara.
ii. Tuma jina lako kamili, namba yako ya simu (isiwe Till) na eneo ulipo kwenda namba hii 0655 057 212 / 0755 572 777 (Super Agent)
Utasajiliwa popote ulipo hapa nchini Tanzania ndani ya dakika 10 na kuaza biashara mkononi ndani ya muda huo huo. Pesa hii humpi mtu yoyote hapa katikati, inalipiwa kwa njia maalum ya Mpesa, TigoPesa, Airtel money au Ezy Pesa kwa kutumia namba ya kampuni na kumbukumbu namba.
Mobistock menyu *150*33#
Facebook: MobiStock Tanzania - Super Agent
Naomba unieleweshe haya:-
-nikitaka kujiunga na uwakala huo kwa kupitia simu, ninatakiwa niwe na salio (Sio mpesa) la shilingi ngapi? na nitabakiwa na shilingi ngapi ya mtaji?
halafu: nimeona kwenye page yenu ya facebook kwamba huduma ya Luku haipo kwenye wakala wa simu , Je ni huduma ngapi (list zote) nitakazonufaika nazo kwa simu?
halafu: Mobistock ina faida zipi za ziada zaidi ya Rifaro?
Asante!
Mkuu umeamua tu kuchekesha kidogo,yani 10000 ni mtaji mkubwa?Mmmmmmh! Mbona mtaji mkubwa hivo.
Ili kusajiliwa unatakiwa uwe na kianzio cha mtaji ndugu hapo hapo ulipo na umekwisha kiweka katika akaunti yako ya mpesa / tigo pesa au airtel money, ndipo utume details zako uweze kusajiliwa. Baada ya kusajiliwa unatakiwa uweke salio ndani ya saa moja ili menyu yako ifunguke. Kushindwa kufanya hivyo akaunti yako itajifunga na hutoweza kuitumia tena.
Kuna watu wanaweza kulia hapa. Ngoja wenye macho tuone!!