JMK ROYAL SERVICES
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 226
- 83
Baadhi ya vifaaa vikuwezeshavyo kujua ubora wa bati,ugumu wa batu,uimara wa rangi(coating),na upaukaji wa bati.
1.COATING THICKNESS TESTER
hii hutumika kujua ujazo wa rangi katika bati na kadri unavyosoma kiwango cha juu ndo uile bati limejaaa rangi na uoaukaji wake unakuwa mgumu inaeza soma kwanzia moja au 2 au3.2 kama hapo kwenye picha imaishiria rangi imekuwa coated ya kutosha
2.HD MAGNIfIER
hii inakuwa na lesn ambapo unasogeza kipande cha bati lako kwa karibu la likionesha kwa ubora ule ule bila kufifia kwa maana lens ipo karibu bac hilo bati ni imara kwa rangi ilivyopigwa haipotei ata lens ikiwa karibu ila ambalo halijapigwa rangi vizur litaonekana limefifia
3.IMPACT ELASTICITY TESTER
hiki kifaaa kinatumika kupima utobokaji wa bati kulingana na gauge yake na ugumu wa bati,kinawekwa kipande cha bati chini alafu kinabanwa kwa juu inakuwa na jiwe la chuma limechongoka linaachiliwa alafu linagonga kile kipisi cha bati kikitoboka bac bati c imara sana
4.SOLVENT RUB TESTER
hii hutumika kupima urahisi wa upaukaji wa bati,inawekwa solvent requid alafu inakuwa nakipande cha bati chini yake inasetiwa mda kipande kikitoka rangi hilo bati c imara kwa rangi
Call 0656-816616 kwa ushuhuda na maelezo kamili