Nimemsikiliza huyo mtangazaji wa ITV aitwaye Gamba. Nadhani ana tatizo la upeo. Huyu, kama walivyo watangazaji wengi hapa nchini, wana upeo mdogo sana. Unahoji vipi suala la ahadi ya elimu bure wakati Chadema wamelifafanua hilo vizuri sana. Inaelekea huyu ana matatizo 'upstairs".
too badkwa umbumbumbu wake maxence ameshindwa kuwaambia watanzania kuwa hii jamii ni ya wachadema....! na kipindi kimeshaisha...!
Nimemsikiliza huyo mtangazaji wa ITV aitwaye Gamba. Nadhani ana tatizo la upeo. Huyu, kama walivyo watangazaji wengi hapa nchini, wana upeo mdogo sana. Unahoji vipi suala la ahadi ya elimu bure wakati Chadema wamelifafanua hilo vizuri sana. Inaelekea huyu ana matatizo 'upstairs".
Nianze kwa kuwashukuru wachangiaji wote waliotangulia, hasa wale ambao wamejitahidi kuonesha kuwa nilichokiandika ni matokeo ya ufinyu wa uelewa wangu. lakini napenda kuwahakikishia kuwa nilichokiandika ndicho kilichokuwepo katika JF..,hata kama watu hawa wakiongozwa na maxence watajaribu kupinga ukweli huo bado nafsini mwao watabaki na ukweli huo daima.
Mtu anapoandika juu ya kitu fulani ni wazi kuwa kitu hicho kimemgusa na kina interest na yeye, hata mimi niliposema kuwa JF ni ya watu wa chadema,nilikuwa na sababu na ushahidi wa kutosha kuwa hawa watu tunaofanya nao mjadala humu ndani wakisaidiwa na administrator wanatumiwa na chadema katika kuponda na kupinga (wakati mwingine mambo ya msingi) yaliyofanywa na chama tawala ili tu watimize adhima yao ya kukichafua chama na wanachama wake. ninachokisema mimi ni kuwa si vibaya wala si dhambi kwa mwana-JF kuwa mshabiki au mwanachama wa chadema lakini lazima tukubali kuwa imani yetu katika chama isiathiri uendeshaji wa JF.
Inashangaza sana pale ambapo tunalalamikia uhuru wa vyombo vya habari ikiwa hapa JF tuko biased, hivi mnakumbuka mara ngapi mli-reject na ku-ban post zangu binafsi na hata zile za watu wengine ambazo zinamuelekeo wa kusema ukweli wa mambo na kuonesha yale yaliyofanywa na serikali ya CCM. Kama tunasisitiza uhuru, kwanini mambo hayo yaliyopostiwa hayakupewa nafasi ya kujadiliwa na hayakuwa na kasoro yoyote kulingana na taratibu tulizojiwekea hapa JF isipokuwa tu mawazo hayo yalikuwa pro-government.
Si mimi peke yangu ambae nalalamikia hili wapo wengi waliojaribu wakashindwa na ndio maana nikataka maxence awataharifub watanzania wote kuwa hiki chombo ni cha chadema ili wasije wakapata tabu ya kufuta post zitakazokuwa na mawazo ya kuonesha kilichofanywa na serikali au angewatahadharisha watu wajue ni kitu cha aina gani kinatakiwa kiwe posted katika jamii forum….!
Jueni kupingana na ukweli ni kazi ngumu hivyo jiandaeni kuvuja jasho jingi katika kupinga hili.
Max ana onekana yupo camera shy na hazungumzi kwa kuji amini. Point alizotoa ni za nguvu ila presentation mushkel kabeel. Kidogo kidogo tuta fika

Mkuu,Mtu anapoandika juu ya kitu fulani ni wazi kuwa kitu hicho kimemgusa na kina interest na yeye, hata mimi niliposema kuwa JF ni ya watu wa chadema, nilikuwa na sababu na ushahidi wa kutosha kuwa hawa watu tunaofanya nao mjadala humu ndani wakisaidiwa na administrator wanatumiwa na chadema katika kuponda na kupinga (wakati mwingine mambo ya msingi) yaliyofanywa na chama tawala ili tu watimize adhima yao ya kukichafua chama na wanachama wake. ninachokisema mimi ni kuwa si vibaya wala si dhambi kwa mwana-JF kuwa mshabiki au mwanachama wa chadema lakini lazima tukubali kuwa imani yetu katika chama isiathiri uendeshaji wa JF.
Oh yeah?Inashangaza sana pale ambapo tunalalamikia uhuru wa vyombo vya habari ikiwa hapa JF tuko biased, hivi mnakumbuka mara ngapi mli-reject na ku-ban post zangu binafsi na hata zile za watu wengine ambazo zinamuelekeo wa kusema ukweli wa mambo na kuonesha yale yaliyofanywa na serikali ya CCM. Kama tunasisitiza uhuru, kwanini mambo hayo yaliyopostiwa hayakupewa nafasi ya kujadiliwa na hayakuwa na kasoro yoyote kulingana na taratibu tulizojiwekea hapa JF isipokuwa tu mawazo hayo yalikuwa pro-government.
Mkuu,Si mimi peke yangu ambae nalalamikia hili wapo wengi waliojaribu wakashindwa na ndio maana nikataka maxence awataharifu watanzania wote kuwa hiki chombo ni cha chadema ili wasije wakapata tabu ya kufuta post zitakazokuwa na mawazo ya kuonesha kilichofanywa na serikali au angewatahadharisha watu wajue ni kitu cha aina gani kinatakiwa kiwe posted katika jamii forum….!
As usual, watu wa aina yako mkuu huwa wanapenda kuwa na kauli za hivi,,, defensive mode ON!Jueni kupingana na ukweli ni kazi ngumu hivyo jiandaeni kuvuja jasho jingi katika kupinga hili.
Bro, nadhani unweza kuwa very wrong
Data wanazo mods adn admins but i can bet my shoes kwamba wanaJF walio tanzania ni wengi zaidi and it could be up to 70%
I hope we will get clarification on this
Imekuwa ni ada kwa viongozi wa vyama vya upinzani kuja na maneno ya kuonyesha kuwa chama tawala cha CCM hakifai na kimeshindwa kutekeleza yale yote kilichoahidi kupitia Ilani yake. Cha kushangaza, macho mnayo na masikio pia ila mnajitahidi kubeza yale yote yaliyofanywa na serikali ya awamu ya nne. Sasa Dr. Salaa, naomba unieleze kuhusu suala lifuatalo na uwe mkweli. Kutokana na misingi ya kanisa Katoliki tunayoifahamu, kutokana na nafasi ambayo tayari ulikuwa nayo, yaani Padri, haukuruhusiwa kuwa na mke. Yakakushinda, ndio maana ukatoka. Na mwanamke uliye nae sasa, haujamuoa. Sasahivi unataka kuoa. Ebu tueleze, ni kwa sababu ya Uraisi au? Hauoni kama unatudanganya watanzania kuwa utakuja na mabadiliko ya katiba, kurejesha taifa katika misingi ya uzalendo? Naamini kabisa kuwa wewe wakati unafanya kazi ya utumishi wa kanisa katoliki uliapishwa na kushika biblia na kula kiapo. Lakini kutokana na ukosefu wa maadili uliweza kuasi na ukaona ya kwamba sio vyema kuendelea kumtumikia Mungu na huku ukisahau ya kwamba ulikula kiapo tena mbele ya Askofu na kuidanganya jamii kuwa wewe umejitoa kumtumikia mungu.
Kwa nafasi ya uraisi utaapa tena kwa kushika Biblia kuwa atalinda na kuitetea katiba ya nchi, je, biblia utakayoitumia sasahivi itakuwa tofauti na ile uliyoikiuka kanisani? Unataka kutupeleka wapi Watanzania?
Sasa unaweza kutueleza ni kitu gani kiliweza kukushawishi na kuasi kazi ya mungu? Mtanzania unaye muomba kura ni nani hadi usimdanganye wakati umeweza kumdanganya mungu? Hivyo nikisema umefilisika kiroho nitakuwa nimekosea? Ni kitendo cha aibu sana leo umeshindwa kuwaongoza waumini. Je wawezaje kuliongoza taifa letu huku ukweli upo wazi, kwa mfano, sasa umeshindwa kuongoza familia yako yenye watoto wawili na mama yao, je, utawezaje kuiongoza nchi yetu ya Tanzania yenye watu zaidi ya milioni 40? Kama leo umeshindwa kumaliza migogoro ndani ya familia yako yenye watoto wawili na mama yao tena tangu mwaka 2007 hadi sasa familia yako umeisambaratisha, iweje ulete mabadiliko ya katiba na kurejesha taifa katika misingi ya maadili na uzalendo? Mimi natambua kuwa kiongozi yoyote aliye bora huanzia ndani ya familia yake na kuwa mfano wa kuigwa na jamii inayomzunguka, kuanzia ndani ya familia yake, leo familia imekushinda, je ni kweli utaweza kuiongoza Tanzania kama nchi?
nafikiri kwa hili la kwenda kujitaja eatv litawasaidia kidogo'ila siku nyingine mkituma wawakilishi wapeni tahadhari wasije kukurupuka kama maxence leo kutaja akina mnyika kuwa ni washirikii wakuu anweza akajikuta anabaki na haohao tu kwani watu wameshazoea story zao na wanataka stori mpya...! kuweni makini mara nyingine....!
Sasa ulitaka akutaje wewe?
Sawa, kwakuwa unazijua SHERIA ZA JF na umeamua kuja na USHAHIDI mzuri unaoonyesha kuwa JF ni mali ya CHADEMA kwakuwa walifuta hoja zako naomba nianze nami kukujibu kwa kukuonyesha zilipoFUTWA ziliishia wapi... Nadhani ulionewa sana mkuu wangu:Nataka kuwahakikishia kuwa yale niliyoyasema yote ni kweli tupu..,vifuatazo ni baadhi ya vielelezo nilivyofanikiwa kuvipata katika kuthibitisha yale niliyotanguliza hapo juu kuwa JF iko chini ya CHADEMA.
Fuatilieni hivi vielelezo kisha mniambie kuwa vilistahili kuondolewa ndani ya jamii forum kulingana na sheria na taratibu tulizojiwekea.
Wote mliokuwa mkihoji juu ya uwezo wa Slaa na kama anastahili kupewa jukumu la kuliongoza taifa hili tuliwaunganisha HAPA... Sasa nadhani utaona kuwa TULIFUTA kwakuwa wewe si CHADEMA, tulikuonea sana mkuu, tuwie radhi!Mnakumbuka mliifuta post hii ikiwa na kichwa cha habari "wewe ni DR slaa"..,niambieni ni kwa nini..? na ninainukuhu kama ifuatavyo
Again,Je mnaikumbuka na hii..?
SLAA UMEMZIKA CHACHA WANGWE NA WOSIA WAKE?
Kisha mniambie kuwa hawa walioandika haya wanazusha..,ni mengi yanayofanywa humu ndani ya JF ambayo yako dhahiri kuwa yanafanywa kwa mkono wa chadema ulioko ndani ya jamiiforum na nashindwa kuelewa kwa nini watu wajaribu kulikanusha hilo hali ya kuwa liko wazi kabisa.
Sawa, kwakuwa unazijua SHERIA ZA JF na umeamua kuja na USHAHIDI mzuri unaoonyesha kuwa JF ni mali ya CHADEMA kwakuwa walifuta hoja zako naomba nianze nami kukujibu kwa kukuonyesha zilipoFUTWA ziliishia wapi... Nadhani ulionewa sana mkuu wangu:
Wote mliokuwa mkihoji juu ya uwezo wa Slaa na kama anastahili kupewa jukumu la kuliongoza taifa hili tuliwaunganisha HAPA... Sasa nadhani utaona kuwa TULIFUTA kwakuwa wewe si CHADEMA, tulikuonea sana mkuu, tuwie radhi!
Again,
JF kama JF haiendi unavyotaka kuilazimisha iende mkuu, kwa siku zinaingia posts zaidi ya 2,000 na zote zinapitiwa kuhakiki hoja kutojirudiarudia... Sasa kwa UCHADEMA wetu kama viongozi wa JF, tukagundua kuwa ulikuwa mwenzetu hata hukuperuzi kuangalia kama kuna hoja hiyo tayari, tukaiFUTA lakini kwa bahati mbaya ikadondokea HAPA...
Nasikitika kuwa ushahidi wako haujajitosheleza na nadhani BADO hujazisoma vema sheria za JF, ilisikitisha wewe kuja na username ya PADRI na kisha kuanza kuleta mijadala ya kuliponda kanisa katoliki kwa mgongo wa jina hilo... Hii inamaanisha wewe NI MCHAFUZI WA MAKUSUDI lakini tulikuvumilia kwa muda na kukuacha uje na jina jingine!
Ushahidi mwingine ambao ni external links za kujitangaza UMEONDOLEWA kwani spamming hairuhusiwi JF, soma sheria zetu vizuri mkuu.
ONYO:
Kuna watu wana u-CHADEMA na u-CCM sana, tunaomba wekeni kando hizo itikadi mnapokuwa mnajibizana katika hoja, vinginevyo mtakuwa na jazba na kuamini kuwa hoja zenu zinafutwa tu!