Jf waliopo Tanga

Manga ML

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2013
Posts
9,808
Reaction score
15,578
Habari wana Jf nipo Safarini kwenda Tanga kusalimia Ndugu na kumpumzisha Akili kidogo aliyopo huko si vibaya kufahamiana,Kwa wa Dada naomba nipate wakunitembeza katika hizi Siku alie na nafasi ani Pm karibuni.
 
Mie ni mwenyeji wa huko ila kwa sasa naishi dar subiri kwa walioko uko watakujuza
 
Mie ni mwenyeji wa huko ila kwa sasa naishi dar subiri kwa walioko uko watakujuza

Sawa mkuu ila sio mbaya ukiniunganisha na yeyo alie mwema nikipata hotel ilio karibu na maaneo ya posta itakuapoa sana ili jioni iwerahic kwenda beach
 
Sawa mkuu ila sio mbaya ukiniunganisha na yeyo alie mwema nikipata hotel ilio karibu na maaneo ya posta itakuapoa sana ili jioni iwerahic kwenda beach

Hotel zipo nyingi tu ayo maeneo ya town naamini utakufurahia sn tu
 
habari wana jf nipo safarini kwenda tanga kusalimia ndugu na kumpumzisha akili kidogo aliyopo huko si vibaya kufahamiana,kwa wa dada naomba nipate wakunitembeza katika hizi siku alie na nafasi ani pm karibuni.
ogopeni ebolaaaaa
 
Nenda nyinda utapata wenyeji kibao, anzia hapo ukikosa sema nikutumie namba zao??? Lakini hela ipo kamanda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…