Mchezo unachezwa saa 6 mchana? Saa sita ni muda wa kuingia mitandaoni kutafuta vocha za bure? Alafu mnalalamikia efficiency ya serikali yenu, kwahiyo wewe unaweza kuacha kutoa huduma/kufanya kazi ya kuzalisha mali alafu ukaingia mtandaoni kuvizia vocha ya bure?
BTW kuweni makini, system works here, kuna watu wanawindwa humu JF.. Jiwekeeni hizo vocha za bure tu mkikamatwa siku ndio mtajua..