JF Usiku Wa Wanaume Kutafakari.

JF Usiku Wa Wanaume Kutafakari.

Mwananchi wa chini

JF-Expert Member
Joined
Jul 23, 2013
Posts
227
Reaction score
599
Wanaume wenzangu Usiku wa Leo Nimewaza Yafauatayo...
Kwenye Dunia Ya Leo Kipi Kimekuwa Kikwazo cha Maendeleo Ya Mtu Binafsi au Taifa Hasa kwa Binadamu kuwa Kichwani au kutatiza zaidi.?
1.Pesa.
2.Mapenzi (Wanawake)
3.Utawala (Siasa)
Mfano Mgombea mmoja wa Urais Wa 2015 Tayari alikuwa na Pesa,mapenzi (Mke na watoto) Ila shida yake moja Tu Ni Kutawala

Je Kipi Kwako.? Binafsi Pesa kwangu Imekuwa ndio Jicho la kwanza halafu mengine yanapatikana baada ya kupata chapa...Maana Lil Wayne ashasema No True Love In This Universe.
 
Mapenzi yamekuwa siasa pesa ngumu kwasababu ya siasa... Naichukia siasa
 
unaposema maisha tayari umezungumzia pesa, mapenzi, utawala na kila kitu around you
 
middle class wanasumbuliwa na pesa.
high class wanasumbuliwa na utawala.
low class wanasumbuliwa na wanawake.

Btw, umemtaja Lil wyne hapo nimekumbuka huu usiku tuliahidiwa release ya The Carter V.
 
middle class wanasumbuliwa na pesa.
high class wanasumbuliwa na utawala.
low class wanasumbuliwa na wanawake.

Btw, umemtaja Lil wyne hapo nimekumbuka huu usiku tuliahidiwa release ya The Carter V.

Utasikia mixtape 'sorry for the wait II' jamaa bangi sana huyoo.

Anyway nirudi kwenye mada, mimi hapo hakuna cha maana, huwezi amini mimi napenda sana matatizo sijui ndio naenda kuwa mwangaa?. Yaani kama ni pesa napenda niitafutee adi nichoke alafu niipate, ata mapenzi mwanamke wa chapu chapu huwa simpendi nataka anisumbuweee alafu nimpaye sasa ivyo ivyo izo siasa mimi napenda tupigane mabomu ya machozi wee!!, alafu tuchukue jimbo/nchi then tujisifie.

Hivi kwa haya maelezo si ninapenda matatizo wandugu??
 
Pesa mengine yote yanapatikana ukiwa na pesa.
 
Pesa kwanza, ukiwa nazo utakula mbunye yeyote ile, utakunywa pombe, utahudumia ndugu zako
Mambo ya utawala waachie wenye hiyo karama mkuu.
 
ngoja ntafute pesa. nisipopata mwanamke, napiga nyeto.
 
Love
Power
Influence
Richness
Hivi vitu vinne ndo vinaendesha wanadam na kibaya zaid huwezi vipata vyote at once ukibahatika kupata vi 3 utakosa kimoja.
Ndo maana unakuta mtu ana hela ana power ana influence lakini mapenzi yanamwendea kombo.
Hapo ndo hua namrudia bwana Guatama na usemi wake
TO LIVE IS TO SUFFER AND SUFFERING IS BECAUSE OF DESIRE.
 
Utasikia mixtape 'sorry for the wait II' jamaa bangi sana huyoo.

Anyway nirudi kwenye mada, mimi hapo hakuna cha maana, huwezi amini mimi napenda sana matatizo sijui ndio naenda kuwa mwangaa?. Yaani kama ni pesa napenda niitafutee adi nichoke alafu niipate, ata mapenzi mwanamke wa chapu chapu huwa simpendi nataka anisumbuweee alafu nimpaye sasa ivyo ivyo izo siasa mimi napenda tupigane mabomu ya machozi wee!!, alafu tuchukue jimbo/nchi then tujisifie.

Hivi kwa haya maelezo si ninapenda matatizo wandugu??
ya cash money wanazingua toka 2012 ni kalenda tu.

Back to topic, we kweli si mzima mkuu. Ulitakiwa ukaishi Syria huko ndio patakufaa
 
Back
Top Bottom