Kwa maelezo yako ni kuwa;
1. JF haijaendelea!
2. Unakuja JF kutafuta demu.
3. Kwani huko "fb" uliko hakuna social network kama hizo zinazoweza kukusaidia ku "chart"?
Halafu umesema kwa watu kama "ninyi," kina nani? Pili, ufisasi unaouongelea hapa ni upi?
Hafi sasa tu, ma- Great thinker huku ndani ni wakuhesabika(na Tafadhali wakuu, tusianze topic nyingine GT ni nani)! Sasa iwapo utatuchanganyia na "mfumo huo wa direct chart kama fb" itakuwa tabu zaidi ya sasa.
.
Halafu mkuu nadhani kizungu nilifundishwa 'chat' vile?
Na kiswahiki nilifundishwa 'suala'.