JF udaku this MARCH

Mulugo alishindwa kufundisha form one civics. na wewe ndo Baba V ulimpaga scheme yako.
halafu unakumbuka kwamba ile lesso palan yako imeambiwa haijafuata syllabus??

Aliiba hadi scheme of work yangu yule jamaa...
 
Last edited by a moderator:
Hahahahahaaaaa
Aisee Baba V hii ya sweetlady imenivunja mbavu sana aisee lol Nimecheka sana kiukweli hahahahaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Slave, lililo sokoni kwa sasa ni mimi kumpa talaka 6 potea Arushaone, huku bado ananipenda kufuru bin dad.
Kumbe hajui Switi wangu Ben Saanane ni makamu wa rais ajae.

mh Madame B mbona watuchanganya..? aliempa talaka mwenzie ni nani hapa..? mbona Arushaone anadai alikukuta kwa mganga wa kizungu akajua unataka kumsusu.. akakupa talaka rejea..?
 
Last edited by a moderator:

Naomba isomeke na kueleweka kwamba safari yangu ya kwenda Lushoto ilihujumiwa kwa kiasi cha asilimia mia..! Hivyo hata kama ni kweli kulikuwa na mpango wa kuwapo kwa mpango huo basi mafanikio yalikuwa ni 0%..
 
Inaendelea..........

IV. Baada ya mafanikio ya Mulugo kupata uwaziri bila kuwa na vyeti vinavyoeleweka walimu Paloma na gfsonwin waandaa maandamano kwenda kwa raisi, wanadai na wao wapewe uwaziri, polisi wapiga marufuku, wanadai taarifa za kiinteligensia zinaonyesha kuna watu watapoteza kucha na meno.

V. manoah apata kigugumizi kupeleka kusudio la ndoa yake na mimisa mbele ya mwenyekiti licha ya kutakiwa kufanya hivyo takribani wiki tatu zilizopita, yadaiwa Ciello na Maureen ndo chanzo, Andindilile ashangilia, adai ni dalili njema kwake..

VI. Zimwi la multiple Ids lamuandama Mr Rocky, yasemekana alitumia ID nyingine ili ampate ladyfurahia ikabuma, sakata latinga kwa Mwenyekiti, Mentor aapa kuroga mtu, Mamndenyi akataa kulizungumzia....

VII. Baada ya Slave kubainika alifundishwa na Mulugo aibu kuu yamnyemelea, adaiwa kumdanganya Dena Amsi kuwa alisoma nje, Dena Amsi adai hata hivyo alimuelewa kuwa alisomea nje ya darasa (yaani chini ya mti)

Itaendeleaa..............
 
Last edited by a moderator:
Naomba isomeke na kueleweka kwamba safari yangu ya kwenda Lushoto ilihujumiwa kwa kiasi cha asilimia mia..! Hivyo hata kama ni kweli kulikuwa na mpango wa kuwapo kwa mpango huo basi mafanikio yalikuwa ni 0%..

Tunasubiri matokeo....
 
Sakata la Madame B kugonganisha mabwana lachukua sura mpya.

Wahusika wanena mazito. Mwandishi wetu Baba V naye ahusishwa!!!

tena Baba V ndio alikuwa mshika mapembe.
 
Mwe...! ikiwa mwautenda hivi mti mbichi Baba V je itakuaje kwa mti mkavu Arushaone..?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…