Wadau wa habari motomoto za Udaku leo tena gazeti lenu linakuja na vitu motomoto, Kwa hisani ya
TANMO Bishanga na
Elizabeth Dominic linashuka kama ifuatavyo.
1
zubedayo_mchuzi atajwa sakata la Westgate..... , Yadaiwa aliamua kujitoa muhanga... Kutoswa na
Arabela kwatajwa kuwa ni kisa.......
2. Kilichompeleka mzee
Mtambuzi Goma sasa hadharani, Mama Ngina aeleza kila kitu, dada yake
Chimbuvu anaeishi Bukavu atajwa kuwa ndo chanzo, Benzi aliloenda nalo
Mtambuzi labaki hukohuko na Arejea kwa kudandia malori ya UN. Mwenyewe ashindwa kuelezea abaki akitamka "Mapenzi upofu",
3.Sakata la kina Masogange mengi yaibuka, Yasemekana Melisa ni member wa Chit chat..., ID ya
cacico yatajwa, Yasemekana zile ofa alizokuwa akimwaga pale Leo tupo hapa ni matunda ya "upunda". Mwenyewe akana na kutaja vyanzo vyake halali vya mapato.
4
gfsonwin uso kwa uso na Mwakyembe, atajwa kwenye urasimu bandarini, Kampuni tatu "hewa" zaorodheshwa,
Bishanga nae katika hatihati.
5.
Erickb52 hali mbaya, aonekana Muhimbili kitengo cha "Psychiatry" mkewe
Chocs alonga, adai walienda kwa vipimo vya kawaida tu. Wachunguzi wa mambo wadadisi, UENYEKITI chit chat watajwa.
6. Katika kile kinachoashiria kutokuwa mwaminifu katika mahusiano,
DEMBA anaswa kona mbaya. Apigwa picha bila kujua, Zatumwa kwa
Kaizer kupitia Whatsapp, Yeye asema haoni cha ajabu.
7. ODM babu
Asprin KWIIISHA habari yake..Yasemekana nguvu za TEMEKE sasa ni tia maji tia maji... Yadaiwa ndo kisa cha kuchezewa sharubu na vibinti. Adaiwa hataki kabisa kuskia neno "UKAGUZI" Mchakato wa kumtangaza "mstaafu" kuanza mwezi ujao, Nani atamrithi bado kitendawili....
8. Baada ya Operesheni Kimbunga
KakaKiiza apotea Jukwaani, kadhia ya uhamiaji haramu yamtafuna,
Mwita Maranya nae aumbuka, yadaiwa alipoambiwa aimbe wimbo wa Taifa yeye akaimba "YAHAYA UNAISHI WAPI!???" kupandishwa kizimbani ijumaa
10. Samantha a.k.a white widow aliyeongoza magaidi Westgate Mall sasa asakwa chit chat.. Id ya
snowhite sasa chini ya uchunguzi mkali.... nduguze wachanganyikiwa,
gfsonwin naye atajwa..
Tuonane toleo lijalo..
Baba V . Independent correspondent..