Hahaaaaa .... wawajua em twente thrii wewe..!? eti sina mke humu, Mama v ni mkeo!?? na hakuna mwenye ubavu wala uhalali wa kunivua madaraka,hii ni kwa mujibu wa katiba iliyoniweka madarakani..
Hawa watoto huwa wakitaka kupanda chati wanaamua kutumia jina langu ili nao wasikike... Wameshashindwa
Kama wale boys wa kule mmu wakitaka kutoka wanakuja na tittle wanawake
Baba V mbona nipo, msinitafute jamani. copy: Madame BUk. 3
10. Maandamano makubwa chit chat... Ni ya kutaka kurejea jamvini kwa cacico, Nicas Mtei , gfsonwin na kyanaKyoMuhaya ... Madame B akabidhiwa jukumu... watakaofuatia awamu ya pili watajwa.... yumo Zinduna... Mwenyekiti Baba V kusimamia zoezi...
Hahaha The secretary inaonekana wamekuudhi sana
Hawa watoto huwa wakitaka kupanda chati wanaamua kutumia jina langu ili nao wasikike... Wameshashindwa
Kama wale boys wa kule mmu wakitaka kutoka wanakuja na tittle wanawake
wako peke yako.......huyo labda umuumbe we mwenyewe......
Wapo wengi sana ila wewe sio mmoja wao.....
katika habari zote hizo lakini ya Lady doctor na Arushaone haina ukweli kabisa.
Daah!!!!!
Lady doctor......Vin Diesel!!!!!!!!
Teh Teh. Kyala Anyosyisye..Uk. 2
6.Mtoto wa nje ya ndoa wa Lady doctor azua tafrani katika familia ya Arushaone, ugomvi wafika ukweni, yadaiwa hakuwahi kusema kuwa ana mtoto. Yasemekana mtoto anafanana na kingkongiii kila kitu.. Yadaiwa hata mimba aliyosema anayo Lady doctor ni uzushi mtupu.. nyumbani hapapikiki, hapaliki, hapakaliki na wala hapalaliki...
7. Masogange atoa ya moyoni , ni kuhusu "sembe" alilodakwa nalo, Erickb52 kikaangoni, adaiwa kuonekana akimsindikiza JNIA , Nzowa athibitisha..
8. Picha tata za Chocs na mpigamsuli zavuja, ni zile walizopiga wakiwa "robotatu uchi", wao wadai walikuwa katika maongezi ya kawaida.... ulegevu wa macho ya Chocs katika picha waongeza hisia hasi....
9.Sababu ya Evelyn Salt kuadimika chit chat yabainika.., Asemekana kuwa "teja" wa jukwaa la wakubwa, adaiwa kushinda huko usiku kucha na mchana kutwa.. Ushaidi wawekwa hadharani, Yadaiwa katika kila thread katika jukwaa la wakubwa utakuta Last post by Evelyn salt . Wito watolewa yafanyike maombi ya kumnusuru. Bujibuji na Zion Daughter wateuliwa kuongoza maombi..
.... Itaendelea...
waendeleaje?
Haaaaaaaaaaaaah......kama mdomo unakata itafahamika!!kwa mdomo?makubwa