Jf Udaku Jumapili hii...

......mmh hii ni kashfa tena kashfa nzito!!!!!!!!!!!
 
Hahahahhahahahahahaha
kumbeeeeeee Evelyn Salt come this way! Kunani huko ya kweli haya!
Daaa jf raha tupu!
Kweli huu udaku chigonga hatii maguu!

Wapi mwl gfsonwin ya kweli hayoooooo?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nimkata rufaa kwa sababu nilisoma online, sasa hawa jamaa nashangaa wananishikia bango, kwani hawajui mambo teknolojia...?



Inasemekana mwandiko wako ndio chanzo cha suspision
 
Kama vipi mwaga pesa tu msue ili tupate compasatio!
Lakini tumsue mmiliki wa gazeti au mleta habari!

Hili gazeti linaleta uchochezi kama mwanahalisi.....
naomba lipigwe ban kwa muda usiojulikana!!!!!!
Baba V ikithibitika habari ni za uongo nitahitaji kulipwa fidia.
kama kuna watu waaminifu zaidi ya Slave na Evelyn Salt wajitokeze...
yani sisi fumanizi hata hatujui ni nini.
Ruttashobolwa nitakuhitaji katika hili.
 
Last edited by a moderator:

Hatuandiki habari bila uthibitisho...
 
Last edited by a moderator:
Sasa hapa lazima ujue mliki ni nani kwanza!
Pili uthibitishe kuwa habari hizi ni za uongo na uchocheza!

Kwa sasa calm down upate kikombo cha maji kama match ndio filimbi inapigwa ili tuanze, alaf usifikirie kulipwa compasation maana na wewe unaweza ukamlipa kama utashindwa kuthibitisha!
Daaaa jf raha tupu!

 
Last edited by a moderator:
Ngoja niirudie hii habari, maana naona kuna ufisadi ume tendeka
 
wakati wengine tunasugua kichwa tupate chochote...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…