Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,084
- 41,582
- Thread starter
-
- #21
Haaahaaa,Hbd kwenu Mkuu.
Hbd kwenu,
Bwana azidi kuwabariki na kuwalinda.
VIP birthday zimeanza.
Sept to December.
InterestingHaaahaaa,
Of course Mimi ni tough man huwaga sisheherekeagi birthday.....
Ila Kwa umri wangu huu nilio uanza wa kukimbiza sungura 😊☺️😊☺️
Am greteful Kwa wazazi wangu walikuaga wanakumbuka izi siku na walibaatikaga kusoma enzi zile shule nzima wilayani au mkoa anafaulu mtu mmoja kwenda form one............ ..
Unwonderful enough nimezaliwa siku Moja na my cousin mtoto wa dada angu tunao fuatana toka ni toke...........
Pia mume wa dada angu ana rafik Ake nae tumezaliwa siku Moja so Jana niliwaalika nyumbani kwangu nikasema hii ni birthday Kwa ajili ya mtoto wa dada angu....
Tulikua na siku nzuri sana Jana mpk saa sita usiku tuli enjoy sana kuzungumza na watu wote nilio wa invite na kusikiliza music 🎵🎵🎶🎶 kula kunywa na kuenjoy......
WE ALWAYS LIVE ONCE, AND THAT ONCE IS ALWAYS ENOUGH...
☺️😊 karibuni sana next year inshallahInteresting
Mungu na azidishe furaha yenu.
Tualike na sisi Mkuu, tuje kumalizia sherehe.
Asante Mtoto halali na helaHappy birthday kwenu nyote
Lol☺️😊 karibuni sana next year inshallah
Ndio ile American 💣 blasts Hii tarehe?🤒Lol
Watu wa September11 ni wachoyo🤣
😂😂😂1+, I'me Isha hiyoo🤒
Yaani kama ulikuwepo..!! Wewe umezaliwa mwezi gani? Tujue kama wazazi wako walipenzika Nyerere Day, au siku ya kuzaliwa TANUMliozaliwa september eti wazazi wenu walipenzika siku ya mkesha wa mwaka mpya
Anyway
Asante sanaAnyway
Sept 11 was wonderful,
Someone special was born..mmeshare birthdate.
Again,happy belated birthday to you matajiri,
VIP BIRTHDAY.