Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,439 Reaction score 166,898 Dec 8, 2011 #1 Nasikia kuna wana JF eti wanaogopa kuonana. Haya wana JF Tanga nakuja, ambaye haogopi kuonana na wageni basi ani PM. Niko njiani.
Nasikia kuna wana JF eti wanaogopa kuonana. Haya wana JF Tanga nakuja, ambaye haogopi kuonana na wageni basi ani PM. Niko njiani.
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,987 Reaction score 24,232 Dec 8, 2011 #2 nani kantolea ki0 changu hakifanyi kazi. Ngoja niite fundi akirudishe afu nikuPM
Mohamedi Mtoi R I P Joined Dec 11, 2010 Posts 3,321 Reaction score 6,331 Dec 8, 2011 #3 Wapi bujibuji?
Elia JF-Expert Member Joined Dec 30, 2009 Posts 3,425 Reaction score 569 Dec 8, 2011 #4 Usisahau kutupa mrejesho ukifika
Poriposha JF-Expert Member Joined Oct 23, 2011 Posts 303 Reaction score 68 Dec 8, 2011 #5 Bujibuji said: Nasikia kuna wana JF eti wanaogopa kuonana. Haya wana JF Tanga nakuja, ambaye haogopi kuonana na wageni basi ani PM. Niko njiani. Click to expand... karibu waja leo warudi leo,
Bujibuji said: Nasikia kuna wana JF eti wanaogopa kuonana. Haya wana JF Tanga nakuja, ambaye haogopi kuonana na wageni basi ani PM. Niko njiani. Click to expand... karibu waja leo warudi leo,
DaMie JF-Expert Member Joined Mar 24, 2010 Posts 684 Reaction score 171 Dec 8, 2011 #6 NimeshakuPm, karibu Tanga niko barabara ya 8 atii
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,439 Reaction score 166,898 Dec 8, 2011 Thread starter #7 DaMie said: NimeshakuPm, karibu Tanga niko barabara ya 8 atii Click to expand... uko barabara ya nane au ya 2018? Nakuja kukuona. Vipi utumbo wa kuchoma, unapanda?
DaMie said: NimeshakuPm, karibu Tanga niko barabara ya 8 atii Click to expand... uko barabara ya nane au ya 2018? Nakuja kukuona. Vipi utumbo wa kuchoma, unapanda?
Bujibuji Simba Nyamaume Platinum Member Joined Feb 4, 2009 Posts 78,439 Reaction score 166,898 Dec 8, 2011 Thread starter #8 Poriposha said: karibu waja leo warudi leo, Click to expand... sirudi leo, nipo wiki nzima
Muuza Sura JF-Expert Member Joined Aug 1, 2011 Posts 1,985 Reaction score 1,353 Dec 8, 2011 #9 njoo tawaqal tupate juice ya tende ukichelewa ibuka nyumbani hotel!