Duuh, Mwanakijiji anaongoza category zote. Hongereni top ten wote!
Mchungaji Masanilo umefanya kazi nzuri, fanya pia mpango wa kupata top ten ya post bora, I hope kwnye hiyo category utapata rank ya juu (kama namba 2 baada ya Mwanakijiji).
Hizo criteria za idadi ya posters na thanks ni more quantity oriented, sasa tunataka kuona na quality pia.
Unafikiri kupata posts zenye quality ya hali ya juu tutumie vigezo gani??
Hebu chekini na top 100 tuone inakuaje..
As expected, the great one, Nyani Ngabu is representing!
Sasa kama kukiwa na top ten "banned" members lazima nitashikilia taji.....
Hakika kumbe hata JF kuna macelebrity.....
Nimekuzidi "Thanks" ila wakichanganya ID zangu zote nadhani niko nyuma ya Mwanakijiji
Hahahaha....Masa....hujanizidi ID aisee. Tokea 2006 hadi leo 2010 kila mwezi lazima nijiandikishe kwa ID mpya....sasa hebu kokotoa uone idadi ya ID nilizonazo. Ndo maana sijawahi kufungiwa....huwaga inafungwa ID moja tu lakini bado ninakuwepo kuwakilisha kama kawa....
Sasa nikichanganya ID zangu zote hata Mwanakijiji hatii mguu...iwe kwa "thanks" au hata idadi ya posts
Hahahahahaah basi tupo juu! Kama waweza mzidi Mwanakijiji umeshindikana
jf stats
top 10 posters
1 mzee mwanakijiji 21,349
2 nyani ngabu 19,836
3 bubu ataka kusema 14,101
4 field marshall es 12,918
5 rev masanilo 11,218
6 abdulhalim 11,155
7 asprin 10,519
8 teamo 10,089
9 maxshimba 9,921
10 fidel80 9,606
top 10 thanked
1 mzee mwanakijiji 10,745
2 maxshimba 6,413
3 asprin 4,284
4 invisible 4,222
5 acid 3,768
6 teamo 3,477
7 firstlady1 3,437
8 rev masanilo 3,094
9 nyani ngabu 3,060
10 kiranga 2,791
nb: Hapo mchungaji sijachanganya na zile id zangu zingine za kizushi.
unahic utakuwepo nikuchekie?