JF Stats

Masanilo

Platinum Member
Oct 2, 2007
22,286
4,493
Duuh, Mwanakijiji anaongoza category zote. Hongereni top ten wote!

Mchungaji Masanilo umefanya kazi nzuri, fanya pia mpango wa kupata top ten ya post bora, I hope kwnye hiyo category utapata rank ya juu (kama namba 2 baada ya Mwanakijiji).

Hizo criteria za idadi ya posters na thanks ni more quantity oriented, sasa tunataka kuona na quality pia.
 
Unafikiri kupata posts zenye quality ya hali ya juu tutumie vigezo gani??
 
nikujuavyo mchungaji utakuwa na ID kama 10+...lol...congrats sweetheart.
 
Unafikiri kupata posts zenye quality ya hali ya juu tutumie vigezo gani??

Akifanya judgement mtu mmoja itakuwa subjective sana, labda tupige kura, tunaweza kuweka preliminary list ya watu kama 20 wakapigiwa kura. Nafikiri kuweka hadharani posts bora itahamasisha members wengine kuwa na tabia ya kufikiri kabla ya kupost, nimeona kadri siku zinavyozidi kwenda, JF inazidi kupata members wengi lakini na mataputapu nayo yanaongezeka, kuna post zingine ukisoma unajiuliza huyu mtu katoka kulewa au nini hasa? Nawe pia unaweza kuchangia ni namna gani tunaweza kupata washindi wa posts bora.

Najua ku-analyse post moja baada ya nyingine is time consuming and almost close to impossible.
 
As expected, the great one, Nyani Ngabu is representing!

Sasa kama kukiwa na top ten "banned" members lazima nitashikilia taji.....

Hakika kumbe hata JF kuna macelebrity.....
 
As expected, the great one, Nyani Ngabu is representing!

Sasa kama kukiwa na top ten "banned" members lazima nitashikilia taji.....

Hakika kumbe hata JF kuna macelebrity.....

Nimekuzidi "Thanks" ila wakichanganya ID zangu zote nadhani niko nyuma ya Mwanakijiji
 
Nimekuzidi "Thanks" ila wakichanganya ID zangu zote nadhani niko nyuma ya Mwanakijiji

Hahahaha....Masa....hujanizidi ID aisee. Tokea 2006 hadi leo 2010 kila mwezi lazima nijiandikishe kwa ID mpya....sasa hebu kokotoa uone idadi ya ID nilizonazo. Ndo maana sijawahi kufungiwa....huwaga inafungwa ID moja tu lakini bado ninakuwepo kuwakilisha kama kawa....

Sasa nikichanganya ID zangu zote hata Mwanakijiji hatii mguu...iwe kwa "thanks" au hata idadi ya posts. Niko juu aisee.....lol
 
Hahahaha....Masa....hujanizidi ID aisee. Tokea 2006 hadi leo 2010 kila mwezi lazima nijiandikishe kwa ID mpya....sasa hebu kokotoa uone idadi ya ID nilizonazo. Ndo maana sijawahi kufungiwa....huwaga inafungwa ID moja tu lakini bado ninakuwepo kuwakilisha kama kawa....

Sasa nikichanganya ID zangu zote hata Mwanakijiji hatii mguu...iwe kwa "thanks" au hata idadi ya posts

Hahahahahaah basi tupo juu! Kama waweza mzidi Mwanakijiji umeshindikana
 
Hongera Rev Masanilo!!

Mi nafikiri top 10 thanked ina accommodate element ya quality of posts! Binafsi nikimgongea mtu senksi ina maana nakubali quality na relevance ya mchango wake katika thread husika!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom