Tunda au firigisi!!??
Hapo sawa....nilifikiri mwenyewe ndo najifaidia hapa JF !!!Danganya toto wewe! Ngastuka!
Hapo sawa....nilifikiri mwenyewe ndo najifaidia hapa JF !!!
Mimi na mdada m1 hvi. Yupo hapa hapo.. Kasema iwe siri ila nimeshndwa kufcha. Penzi ni kikohozi.
Yupo mwngne kanambia atanipa ili nimteue awe mkuu wa mkoa.
Mjukuu mkubwa ana ki:mimba: cha Moskwito. Afu nilijua we bonge la mjanja... ile nyumba ya urithi nimemweka pale kwa muda. Subiri ndugu zangu warudi toka Mererani uone watakavyomkurupua.
Afu hii ndoa yetu Bestman akiwa Bishanga, nani atakuwa matron wako? Nimechoka kusubiri.
muhimu sana matron atokee maeneo ya arusha tafazali.Mjukuu mkubwa ana ki:mimba: cha Moskwito. Afu nilijua we bonge la mjanja... ile nyumba ya urithi nimemweka pale kwa muda. Subiri ndugu zangu warudi toka Mererani uone watakavyomkurupua.
Afu hii ndoa yetu Bestman akiwa Bishanga, nani atakuwa matron wako? Nimechoka kusubiri.
mmmhhh umenipiga kibuti sio? poa tu dawa yako ndogo nitamkuwadia Asprin kwa Darlingtone,wamjua weye?He he he he, labda atakuwa Babu DC, huyu naona atanifaa.
mwanamke gani wa jf ana ubavu wa kumrekebisha bishanga?