toponyondo Senior Member Joined Dec 27, 2018 Posts 169 Reaction score 94 Jun 13, 2020 #81 Dannis said: Mbona hamtaki kuongeza Jukwaa la Jf safari? Click to expand... LA nn?
Maxence Melo JF Founder JF Staff Joined Feb 10, 2006 Posts 4,542 Reaction score 16,812 Jun 13, 2020 Thread starter #83 Amanikullaya said: Ndio natumia App Click to expand... Just update it
NGERESHAA JF-Expert Member Joined Mar 26, 2017 Posts 1,299 Reaction score 1,809 Jun 13, 2020 #84 Maxence Melo said: Just update it Click to expand... Ok asante nitafanya hivyo
Ushimen Platinum Member Joined Oct 24, 2012 Posts 44,105 Reaction score 110,832 Jun 13, 2020 #85 Maxence Melo said: Sithubutu tena mkuu wangu. I hope ulinielewa kuwa nia haikuwa mbaya Click to expand... Lakini ulipita mulemule......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Maxence Melo said: Sithubutu tena mkuu wangu. I hope ulinielewa kuwa nia haikuwa mbaya Click to expand... Lakini ulipita mulemule......[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,568 Reaction score 17,982 Jun 13, 2020 #86 Tuko pamoja kiongozi!
Mtoto halali na hela JF-Expert Member Joined Aug 10, 2012 Posts 54,971 Reaction score 54,097 Jun 13, 2020 #87 Poleni kwa kazi
polokwane JF-Expert Member Joined Dec 16, 2018 Posts 3,976 Reaction score 7,272 Jun 13, 2020 #88 Maxence Melo said: Sithubutu tena mkuu wangu. I hope ulinielewa kuwa nia haikuwa mbaya Click to expand... Max please jukwaa la ujenzi linaombwa sana tena tangu mda mrefu sana tafadhari tunaomba mlifanyizie kazi tafadhari.
Maxence Melo said: Sithubutu tena mkuu wangu. I hope ulinielewa kuwa nia haikuwa mbaya Click to expand... Max please jukwaa la ujenzi linaombwa sana tena tangu mda mrefu sana tafadhari tunaomba mlifanyizie kazi tafadhari.
Mr pianoman JF-Expert Member Joined May 22, 2019 Posts 2,640 Reaction score 6,442 Jun 13, 2020 #89 Maxence Melo said: Sithubutu tena mkuu wangu. I hope ulinielewa kuwa nia haikuwa mbaya Click to expand... Mimi nakuruhusu ukitaka kutoa mfano wowote nitolee mimi mkuu.
Maxence Melo said: Sithubutu tena mkuu wangu. I hope ulinielewa kuwa nia haikuwa mbaya Click to expand... Mimi nakuruhusu ukitaka kutoa mfano wowote nitolee mimi mkuu.
Nelly JF-Expert Member Joined Jan 25, 2020 Posts 5,688 Reaction score 11,202 Jun 13, 2020 #90 Kadhi Mkuu 1 said: Mtuwekee kitufe cha dislike.[emoji107]au[emoji867] Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... [emoji867]
Kadhi Mkuu 1 said: Mtuwekee kitufe cha dislike.[emoji107]au[emoji867] Sent using Jamii Forums mobile app Click to expand... [emoji867]
N Ngariba1 JF-Expert Member Joined Jan 12, 2017 Posts 1,900 Reaction score 4,036 Jun 13, 2020 #91 polokwane said: Max please jukwaa la ujenzi linaombwa sana tena tangu mda mrefu sana tafadhari tunaomba mlifanyizie kazi tafadhari. Click to expand... Tumeshaomba sana hili. Basi kama anadhani halina umuhimu aanzishe poll tupige kura.
polokwane said: Max please jukwaa la ujenzi linaombwa sana tena tangu mda mrefu sana tafadhari tunaomba mlifanyizie kazi tafadhari. Click to expand... Tumeshaomba sana hili. Basi kama anadhani halina umuhimu aanzishe poll tupige kura.
Hadrianus JF-Expert Member Joined Feb 19, 2020 Posts 2,112 Reaction score 5,271 Jun 13, 2020 #92 polokwane said: Max please jukwaa la ujenzi linaombwa sana tena tangu mda mrefu sana tafadhari tunaomba mlifanyizie kazi tafadhari. Click to expand... akikujibu hili nipigwe ban
polokwane said: Max please jukwaa la ujenzi linaombwa sana tena tangu mda mrefu sana tafadhari tunaomba mlifanyizie kazi tafadhari. Click to expand... akikujibu hili nipigwe ban