JF Relationships: Watu wanawezaje kumpenda mtu ambaye hujamuona?

Nimekaribia,niliwahi kuambiwa hivi "Kuweka wazi jambo amabalo liko wazi ni matumizi mabaya ya akili bali ni kuleta tatizo.

Nimechagua kusoma maoni ya wadau. Ila hata mimi humu kuna wanawake/mabinti kadhaa wananivutia sana,japo hawajui hilo ila salamu ziwafikie,japokuwa sijawahi kuwaona. Haya mambo yapo sana,ila umakini unatakiwa sana. Sisi wanaume madhaifu sana,yaani achilia mbali sababu nyingi nyingine katila hili,ila unakita kabisa ya kuwa binti ameweka avatar ya binti mrembo kabisa na unajua sio yeye,ila ile picha tu inakufanya uvutike na huyo binti,yaani aliyeweka hiyo avatar.
 
Kwahiyo avatar inakuvuta mkuu?😂
 
Mla Bata,
Kinachojenga mahusiano ni mawasiliano.

Falling in love something else, because some people do not fall in love rather they let love fall for them...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom