Mkuu heshima sana,
Hii bug imenifurahisha sana hasa ukizingatia kuwa watu wacheche sana husoma terms and reference sio tu kwenye software installation lakini pia kwenye issue zingine kama vile mikataba mfano Tanzania pale watu wanapokuja na sababu za "nilidanganywa"......ila huyo anaesema alidanganywa amesign na kukubali kila sharti ndani ya mkataba.
Haka ka utaratibu waki ka imbed kwenye software na services nyingi katasaidia kulazimisha watu wasome.