Forest Hill
JF-Expert Member
- Mar 4, 2018
- 2,873
- 6,892
Heshima kwako kamanda.!!
Kuna Uzi hapa hapa Jf ambao watu walifanya vyema sana tu katika harakati hizi Nadhani bado unasonga mbele.
Ulianzishwa na Daby last year unaitwa "JF HIP HOP FREESTYLE BATTLE" watu wameflow kinyama.
Jukwaaa la Sports & Entertainment.Ni tag
and huu naufuta vp
Nafikiri moderators wanaweza kukusaidi kuunganisha.and huu naufuta vp
Is anything which has mass and can take place.Rap ndo nini mkuu