simplemind
JF-Expert Member
- Apr 10, 2009
- 16,764
- 9,679
mimi nashindwa kujua rank yangu maana nilishafikia jf senior expert member nikapigwa demotion bila notification yeyote. pengine ajili siku za karibuni hamjaona nafasi yangu ya kuchangia jf. sina hakika na mpangilio wenu wa ranking
na imekuwaje sie tuliokuwa ma-jf ert membaz nyuma na kuwa senior membaz tu?
Sikulaumu kwa kuwa hapo ndipo uelewa wako ulipofikia. Umeona neno "Loading .....90%" ni tusi kubwaa sana eeehhh... nadhani umejidhalilisha mwenyewe ungekuwa mwenye busara ungepita tu usingesoma mambo ya kuaibisha.grafani11 una-load nini mkuu? Ni bora kutoandika chochote kuliko kuweka bandiko linalokuaibisha kiongozi.
0-49 Posts - Junior Member
50-249 Posts - Senior Member
250 - Expert member
Number of posts by the user. Soon kutakuwa na ranking ya JF Premium member (wale ambao watakuwa wawezeshaji wa JF financially.
Nadhani swali la mwisho limejibiwa katika majibu madogo niliyotoa hapo juu.
See Mwendapole . He/She is a JF Premium Member. Ni mfano tu