MaxShimba
Platinum Member
- Apr 11, 2008
- 36,008
- 4,093
He he he bujibuji, vipi huyu Yanga?
Hiyo inaitwa kabundualichovaa huyu platnum member hv ni boxer,kaptura au bukta au kikwao kavaa puzzo sijaelewa kwa kweli
mtungi umenifirisi arifu.....huyo atakuwa Nyani Ngabu........daaaah, yaani Yo Yo karudia mtungi tena?? si alisema kaacha kilaji...