View attachment 1519925
Baraza la kwanza la Mwalimu lilikua na Waziri/ Mbunge mzungu Sir Derick Brysen(Mbunge wa Kinondoni) huyo kushoto na pia alikua Waziri wa Kilimo na Kulia kwa Mwalimu ni Amir Jamal(Muhindi) alikua waziri wa Fedha baadae akawa waziri wa Nishati na Madini. Ndie waziri aliyekaa wizara ya Fedha kwa muda mrefu zaidi( Miaka 12) na alikua mbunge wa Morogoro ila alienda kufia na kuzikwa Canada