Jf Party - ziko wapi?

Zipo sana.......ila sasa hivi zimeadvance kidogo.......tunafanya house parties......kwa trusted members only........baada ya mambomambo mengi........tukaona isiwe tabu.........
Naomba mnialike......
 
Kila jambo na wakati wake...

Sasa hivi tupo level nyingine, kama unataka party subiri jirani akibatiza mtoto ualikwe...

Itabidi level yetu nayo ipewe nafasi walau party moja inatosha..
 
Hiyo kamati si ndo ile ya kukata?
Unataka akatwe sio, mpe access kimya kimya!

Naomba mnialike......

Kamati ya maadili itakutana baada ya mavuno yanayoendelea kwa sasa na majina yote yatawakilishwa.............

nakala kwa wajumbe wote wa bata committee........ PakaJimmy.... Filipo....... Blaki Womani.........sweetlady...... marejesho...... Lily Flower...... Easymutant...... LiverpoolFC .........Valentina...... IGWE..... Cantalisia....... marejesho...... Mzee wa Rula...........
 
Teh! Naona wote ni wa Arachuga wing.
Pass my regards to Arushaone Filipo & Passion Lady.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu......kanusha kauli hii.......
Bahati mbaya nshalewa.......uwezo wa kuleta evidensi saa hizi sina.......will come back to you......I swear..........
Mhe. Preta nakupa hadi leo jioni kabla ya kuahirisha..kikao uwe umeleta ushahidi wako kwa katibu wa jukwaa..ukishindwa nitatumia madaraka niliyonayo kutoka kifungu JF 3,ibara ndogo ya MMU kukuzuia vikao....idadi ntajadiliana na kamati ya nidhamu.Tuendelee waheshimiwa..sasa ni zamu yaaaa.
 
Zipo sana.......ila sasa hivi zimeadvance kidogo.......tunafanya house parties......kwa trusted members only........baada ya mambomambo mengi........tukaona isiwe tabu.........
jamani naomba tufanye jf house Party Preta......
 


Zipo za kimya kimya! Karibu Arusha
 
Party zipo isipokuwa watoto hatuwaruhusu kwa sababu za kimaadili......si unajua tena mambo ya party unaweza kumkuta Preta yupo na bikini......mara huku masai dada yupo mapaja wazi........kwa kifupi ngoja mpaka ukue na utahudhulia vuta subira bwana mdogo...........
 
Last edited by a moderator:

kuna mambo mengi sana kwenye party.......ndio maana tukaamua kuwa PRIVATE zaidi.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…