Zuriel_cfc
JF-Expert Member
- Nov 2, 2017
- 4,096
- 9,074
Njema kabisa dada nakusalimia tu kwa mbaliMie Alhamdulillah uzima ninao mdogo wangu. Za masiku?

Njema kabisa dada nakusalimia tu kwa mbaliMie Alhamdulillah uzima ninao mdogo wangu. Za masiku?

Wajionaje na haliMrembo
Huu ubaguzi wa wazii 🙁Nipe taarifa ukikosa.
Utakuwepo?helo, utakuja?
Dada pasua kichwa njoo nataka nikuone ulivyo!![]()
nitajitahidi niwepoUtakuwepo?
na Maji Pia YapoNyama choma itakuwepo?
Hehehee siku hyo sitakunywa maji walana Maji Pia Yapo
Kwanini?...mi ntalewa na kukata mauno ya kufa mtuHehehee siku hyo sitakunywa maji wala