Mpekuzi17
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 445
- 396
oooh kumbe hata huko wapoooo😛😛😛Kwangu ilikuwa poa pia.
Hahahaaaa. Ukifika wasalimie bana. Kwani Sie huku tushawazowea. 😜😜
Mkuu vip habari za mchana?
oooh kumbe hata huko wapoooo😛😛😛Kwangu ilikuwa poa pia.
Hahahaaaa. Ukifika wasalimie bana. Kwani Sie huku tushawazowea. 😜😜
Hahahaa. Ndio wapo wamejaa tele. Za mchana salama kabisa Mkuu. Vp job?oooh kumbe hata huko wapoooo😛😛😛
Mkuu vip habari za mchana?
Namshukuru Allah job inaenda poaaa, sijui kwako?Hahahaa. Ndio wapo wamejaa tele. Za mchana salama kabisa Mkuu. Vp job?
Huku salama Mkuu. Hahahaaa Na kweli Mkuu jumatatu na jumanne ziko tofauti ujue yaani leo mwili uko na nguvu tu.Namshukuru Allah job inaenda poaaa, sijui kwako?
nadhani leo utakuwa uko effective no uchovu😛😛
H ah haaaaaaaaHuku salama Mkuu. Hahahaaa Na kweli Mkuu jumatatu na jumanne ziko tofauti ujue yaani leo mwili uko na nguvu tu.
Hahahaaaa. Ndio aiseeeee. 😜😜H ah haaaaaaaa
unaweza kujikuta unabeba trekta kwa nguvu ulizonazo leo eeeeeh! Haya poa Mkuu kazi njema ngojea tumalizie viporo ili siku ya leo iingie kwenye count( mkeka wa payroll)😀😀😀
Ni kweli Mkuu ukisheza unaweza kukuata kakuwekea siku pungufuuuuu unatoa machooo😀😀😀😀Hahahaaaa. Ndio aiseeeee. 😜😜
Na kwako pia Mkuu. Hahahaaa. Malizia aiseee maana mwezi tushaugawa huu.
Hahahaaaa. Kabisaaaa.Ni kweli Mkuu ukisheza unaweza kukuata kakuwekea siku pungufuuuuu unatoa machooo😀😀😀😀
Nice moment Mkuu
Haya Mkuu,Hahahaaaa. Kabisaaaa.
Na kwako pia Mkuu.
😀😀😀 sijui umewaza nini mkuu....dah!MMMH TUSIJE KUSANYWA KAMA KUKU BANDANI
Manake wasiojulikana wakikuteka na kukupa sharti la kufa au kubakwa aisee lazima kila mtu atataja ID yake na passcode hapo hapo
Anyway ngoja tuone kwanza upepo unavyokwenda
Hahaaa...disco la welcome form one hiloo...nakumbuka siku ya kwanza kwenda clubSaa tisa mbona mapema hivyo
nilienda saa tatu usiku loohh!nkajikuta peke yangu!!Msifanye hvyoooWala wa deadline Ndo watakapotoa sasa
Wanachanga lakini.. Hilo Ndo LA msingi. Hata sisi hatutegemei Kama tutafika 100. Wakifikia idadi ya venue yetu tu basiMm nlishawaambia humu watu maneno tu,wote waliosema watakuja kwny ule uzi na huu wanazidi hata 100 lkn subiri siku ya tukio ndio utashangaa...
Nilipie tu ze dudu!!ntakuwepoo!!!Mi Nataka Nimlipie Raynavero Kama Atakubali Kuja Lakini

Hahaaa...disco la welcome form one hiloo...nakumbuka siku ya kwanza kwenda club![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
nilienda saa tatu usiku loohh!nkajikuta peke yangu!!