miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
kama kauchawi hivi
mi siongei wasije nichoma na sikukuu hiii nikajikuta nakos uhondo wa jf ..Au JF ni fulimasoni???
Mmmmmh mashikolo mageniUkikipenda kitu ni ugonjwa mbaya sana hutasikia la mnadi swala wala la muadhini ni full kudata... Huambiliki.... husikii... Hushikiki... Hukamatiki!!!
Ni sawa na ulevi wa bangi, ulevi wa Mpira, ulevi wa pombe, ulevi wa umbea ati kusutwa sunna... View attachment 313681
Usiku huu hujalala ati unapost... Wee mwanga??? Ati unareply na kulike... Kumbuka kesho job na mahabuba anakusubiri hapo pembeni..muendeleze uumbaji na kupoza tamaa za mwili na roho!, Keshategesha.... Jifanye hamnazo kisa JF!! Asilimia 49 itakuhusu... Mi simo acha nifanye yangu.....!!!
Mhhhhhh hivi hakuna kitu kingine chenye thamani ya utamu zaidi ya ulichokianisha mtoa mada?
Ngoja na mie nilale sasa niwaachie popoz JF yao
Kaka ungeniuliza kwanza vitamu kwangu ni vipi?dada nakushauri achana na kupenda vitamu!
kama hivo ni sawa! utanfundisha kupenda Korean Series, na baaadae unipe nikaangalie1Kaka ungeniuliza kwanza vitamu kwangu ni vipi?
Mimi cha kwanza ni Korean Series, naachaje sasa?
Ondoa shaka kaka,sema jingine.kama hivo ni sawa! utanfundisha kupenda Korean Series, na baaadae unipe nikaangalie1
Kwa maana hiyo, wale wanaouana hawajawahi kufahamu kuwa kuna utamu zaidi ya ile sehemu moja wanayoifikiria wapo? Au huwa wanajiwehusha?Na ashukuliwe sana Muumba kwa kugawanya utamu kwenye vitu mbalimbali kama muwa n.k la sivyo tungeuwana na kuchinjana kama utamu ungekuwa eneo moja.