Mmeanza visingizio. Ujinga wenu mmeona hautaungwa mkono mmeanza visingizio.Sasa kama hujui mabalozi wote wametakiwa kuamka asubuhi na watu wao wakapige kura. Usipopiga kura itabidi balozi ajue kwa nini huendi kupiga kura
Mboga Mboga wajinga tuJamani rafiki zangu jilipotea nikijua nina shida kwenye app yangu hahaha na nilijua labda JF wameniblock jaman kumbe na huku mpaka VPN hahahha.
Ila fisiemu wanatangatanga jaman, kwani hamtaki kukosolewa mbapokesea? Watu hawataki kupiga kura kwanza maana hawawataki so mkae kwa kutulia, VPN tutawasha na tutawakonektiana kwa raha zetu.
Mbogamboga wana taabu jamani
Aje huyo balozi wao nyumbani kwangu siku hiyo halafu aone nitakavyo mfyeka miguu kwa panga. Sitaki upumbavu mimi.Usiseme nimetunga habari, imetangazwa mpaka DW jioni akinukuliwa mgombea wa urais wa ccm kwamba balozi atoke na watu wake na aende nao kituoni kupiga kura. Ina maana hapa asiyepiga kura atajulikana kwa balozi. Hebu fikiria kama balozi mtaa wake mzima wamejitokeza wachache kupiga kura, hao wengine wasiopiga kura wataelewekaje mtaani?