JF na nicknames.......

shem,umeona mambo ya AD?hantakii mema huyu,eti kibabu ka bishanga na mambo ya valentino wapi na wapi?
Kwani mababu ndo hawajui kupenda au hawataki kupendwa?? mi hizo ndevu zinaniacha hoi.... πŸ™‚
basi kesho nitamtuma dereva wangu atakuja na li jaguar langu jipya and he will be in uniform (mpaka gloves),aku pick saa ngapi?
(btw umeona mambo ya AD lakini?mpe tahadhari kuwa atantoa roho jamani).
relax, take a deeeeeep breath, you will be alright, trust me πŸ˜›oa
@bishanga
basi leo hulali kisa AD kakuomba uwe valentine
na hivi una vidole nchi10 vitagusa dari leo.
hahahahahaha Kongosho bana unamfanya Bishanga aone haya sasa..
tatizo lako we wivu,kwani we She?
mmmhhhhhhhh :A S embarassed::A S embarassed::A S embarassed:

Nitumie dereva niondoke nae.
Alafu AD nilimwambia akuzingue. . pole ehhh!!Nenda kameze dawa presha ishuke.
Doto nilikwambia nini kuhusu kusema kila kitu hadharani?
wivu sina roho inauma eh.....hahahahaa .....mbona kaniPM na tushapanga miadi ya kwenda maldives?
Really??????????????
Tooobah sibukhana!
Halafu sioni kitufe cha kuripoti abuse!
kiko upande wa kulia juu ya page yako, kina rangi nyekundu..
kwa ajili ya Valentine ... ila kuna kingine chini upande wa kulia
kina rangi ya blue. hicho ukibonyeza tu MODs wote watafanya harambee hapa πŸ˜›oa

hahahahahahah looohh we sikuwezi...
 
Kurwa I couldn't help it. . .alikua anaringishia kila mtu.
 
Kurwa I couldn't help it. . .alikua anaringishia kila mtu.

usjali..
Nimempa yeye chaguo la kwanza ..
sababu ana ndevu , lakini naona bado anakataa mitaa..

siku ya leo ikisha hajanipa jibu basi .....
 
usjali..
Nimempa yeye chaguo la kwanza ..
sababu ana ndevu , lakini naona bado anakataa mitaa..

siku ya leo ikisha hajanipa jibu basi .....
Anaogopa usije ukampeleke Zanzibar wakati wewe uko Meru. . . lolz

Alafu wewe. . .BASI TU!!!
 
Anaogopa usije ukampeleke Zanzibar wakati wewe uko Meru. . . lolz

Alafu wewe. . .BASI TU!!!

hahahahahahahah lol..
haiwezi tokea akikubali ombi langu kwa moyo wote..

Najua umenuna ila ngoja ngoja bana..
si nilisha kwambia jana sababu..
 
hahahahahahahah lol..
haiwezi tokea akikubali ombi langu kwa moyo wote..

Najua umenuna ila ngoja ngoja bana..
si nilisha kwambia jana sababu..

Hhhhm we mdanganye tu mwenzio.Ila vyovyote vile. . hakikisha zawadi anaituma nyumbani.Sawa ehhhh?Mwambie ni kwa jirani!!

Ahhhh we bana. . . mi nataka hivyo hivyo!!
 
Hhhhm we mdanganye tu mwenzio.Ila vyovyote vile. . hakikisha zawadi anaituma nyumbani.Sawa ehhhh?Mwambie ni kwa jirani!!

Ahhhh we bana. . . mi nataka hivyo hivyo!!

si mdanganyi bana acha kunikoseshea riziki yangu bana.. lohhhhh

unajua kama hauna details si mtamu kabisa..
mpaka leo usiku story yote hahahahahah lol..

Mwenzio sina hamu hapa nimenunua ticket ya cricket ..
halafu cheki hali ya hewa sasa mvua kwa kwenda mbele..
wa ki cancel ntalia kweli ...:A S embarassed:
 
Hehehe sinimeshakwambia uhakikishe zawadi inafika home?Au kuna riziki nyingine unataka?Lolz

I'm soooooooooo not happy. Na mimi nataka kidogo alafu badae unimalizie!!

Hehehehe na naomba wacancel kwasababu unajidai mjanja.
 
muone vile.. nikikupa kidogo hauta ridhika ...
we mgumu kweli niachie basi nipate details zote kwanza
usinibane hivyo basi khaaaaaaaa..

na wa ki cancel yako ngumu .... nakutolea mahasira yote teh teh teh lolz
 
Please please pleaaaaaaaase.
I beg you pleaaaaaaaaaaaaaase!!
Please please please.
 
Please please pleaaaaaaaase.
I beg you pleaaaaaaaaaaaaaase!!
Please please please.

duhhhh muone vile..
Haya bana upande wa pili utakuta details kidogo nilizo nazo...
 
AD ,TF kaniPM,anadai presha inapanda inashuka,hebu njoo uokoe mtoto wa mwenzio pliz.
Ps:mwambie ukweli kuwa ulikuwa unatania tu kwani he is your real valentine!
 
usjali..
Nimempa yeye chaguo la kwanza ..
sababu ana ndevu , lakini naona bado anakataa mitaa..

siku ya leo ikisha hajanipa jibu basi .....
sidanganyiki,lol!
 
Anaogopa usije ukampeleke Zanzibar wakati wewe uko Meru. . . lolz

Alafu wewe. . .BASI TU!!!
Lizzy,AD kumbe ndo alimgandisha figanigga zanzibar,du,mtoto huyu!
 
AD ,TF kaniPM,anadai presha inapanda inashuka,hebu njoo uokoe mtoto wa mwenzio pliz.
Ps:mwambie ukweli kuwa ulikuwa unatania tu kwani he is your real valentine!

we upo karne gani Bishanga TF ameshaopoa kimwana mwingine siku mingiiiii....

Haya bana nachukulia umekataa ombi langu... asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…