Naomba ubadilishe hiyo nickname ya huyu Mwanangu Cantalisia, kwanza ananiweka roho juu kila siku humu, mpaka siku hizi siweki mambo yangu ya ujanani hadharani tena.................(kwa kudai M-Pesa ili asitoe siri ndio zake) hafai huyu kuwa Binti Mtambuzi. Pili sijui hata ndululu yake ya kununulia tumbaku, mtoto nimsomeshe halafu hataki hata kurudisha chenji yangu..............Mzee mwenzangu naomba ufanye editing uondoe hilo jina la Mtambuzi hapo kwenye jina lake.
Wheeeew!! Kumbe mimi sipo, afadhali
Hahahahah!Naomba ubadilishe hiyo nickname ya huyu Mwanangu Cantalisia, kwanza ananiweka roho juu kila siku humu, mpaka siku hizi siweki mambo yangu ya ujanani hadharani tena.................(kwa kudai M-Pesa ili asitoe siri ndio zake) hafai huyu kuwa Binti Mtambuzi. Pili sijui hata ndululu yake ya kununulia tumbaku, mtoto nimsomeshe halafu hataki hata kurudisha chenji yangu..............Mzee mwenzangu naomba ufanye editing uondoe hilo jina la Mtambuzi hapo kwenye jina lake.
Mnataka kufanya Team-work eh!Heeeeeeeeeeh!
Mabigi!
Baby sister njoo tuongee chemba, mzee karibia anakata kauli huyu
Here i am sisy,Heeeeeeeeeeh!
Mabigi!
Baby sister njoo tuongee chemba, mzee karibia anakata kauli huyu
Kama nikikufa na presha, ujue utakuwa umechangia, na mama Ngina hatakuacha, sijui atakubeba na mbeleko gani........Hahahahah!
Pole babangu,
Ndio ishaingia kwenye hansadi lol!
Cantalisia Bint Mtambuzi,naonyeshea msisitizo tu Baba
Kukuzunguka sina hakika, ana kitu chamsumbua sijaonana nae nimwulize kimeishia wapi? Alininong'oneza eti anahisi kaka yetu Kaizer hampendi kama zamani sasa usikute ameanza kutuonea wivu vile sie kaka zake wanatupenda kwa moyo wa dhati.. Chezeiya gubu la wifi wewe!.. Mie kule sipiti peke angu namsubiri kakake aje nijipitishe nae...lolUnadhani kupendwa na PAW issue ndogo eh? Acha nijishebedue mtoto wa kike,lol!
Nshajifagilia, afu eti kaona wivu anadai anamhurumia kakake! Huyu wifi siku hizi, sijui ananizunguka?
Mnataka kufanya Team-work eh!
Chonde chonde............uchokozi nouma!
Kufa hutakufa ila cha moto utakiona tu mdingi wangu,Kama nikikufa na presha, ujue utakuwa umechangia, na mama Ngina hatakuacha, sijui atakubeba na mbeleko gani........
Ni jambo la kawaida wanajamii kupeana 'nicknames', mimi nimeshuka na hizi:
Bishanga- tajiri la kihaya
Aspirin- babu revola
Lizzy-condoliza rice
Kongosho-AC/DC
AD-mama maua
Michelle-mrs HC
Faiza foxy-Ana makinda
Kabakabana-zipu mkononi
Cantalisia-binti mtambuzi
Mtambuzi-mzee wa busara
Husninyo-miss mpwapwa
The Boss-mzee wa nyumba ndogo
Fidel-infi wa ukweli
Figanniga - .........
popobawa - ......
...........- binti mcharuko
..........-chakubimbi
dena - chaukali
jazieni hizo dot dot (mi naogopa ban) na kisha tuendelee......
ebu na mimi nipe nick nameNi jambo la kawaida wanajamii kupeana 'nicknames', mimi nimeshuka na hizi:
Bishanga- tajiri la kihaya
Aspirin- babu revola
Lizzy-condoliza rice
Kongosho-AC/DC
AD-mama maua
Michelle-mrs HC
Faiza foxy-Ana makinda
Kabakabana-zipu mkononi
Cantalisia-binti mtambuzi
Mtambuzi-mzee wa busara
Husninyo-miss mpwapwa
The Boss-mzee wa nyumba ndogo
Fidel-infi wa ukweli
Figanniga - .........
popobawa - ......
...........- binti mcharuko
..........-chakubimbi
dena - chaukali
jazieni hizo dot dot (mi naogopa ban) na kisha tuendelee......
weye wapenda weusi wenye matege?Umeona domo tu, ule weusi na kitambi je? Matege nayo wamwachia nani?...lol.
Mie sijambo Bishanga, memiss wewe sana!
Jipe likizo kwa raha zako bana, maisha yenyewe mafupi ukifikiria kila dakika waweza zeeka siku sio zako..
Eti wewe ni "mzee wa busara"?
We said ....NICKNAMES........ not real names