Hahah najua wewe ni kati ya smart girls hapa ndio maana macho yakawa yamenitoka nikahisi labda hilo jismartphone lako limeanza ukorofi wa kubania baadhi ya herufi...
Kwa sie ma single lady jf inatusaidia kuepukana na stress za upweke.
haha hamna yani,napataga uvivu kuandika kila kitu yn,haya ahsantee....ntalfanyia kazi
Kwa sie ma single lady jf inatusaidia kuepukana na stress za upweke.
Kumbe upo singo...!
Tinna ulishampata wa kukushika mkono hapa tauni?
Watu8...kwahyo wew muda mwng upo iddle?maana muda mwng upo jfHaya...
Ila jaribu kutenga muda wako kwa mambo binafsi na majukumu ya kindoa, muda idle ndio uwe waingia jukwaani.
Ts tru,kuna jamaa mmoja among reasons za kumpiga kbut ni kushka cm muda wote..ALINICHOSHA SANA,yn hana tym na wew,mnaongea kdogo yupo insta,mara bbm,cjui watsap,fb,jmn khahhh limtu unaongea halikusikii had uongee mara mbilimbili...nkaona isiwe tabu basi F**k ur phone am long gone,
ht me nmejifunza usiwe addict wa simu mpe mpenzio all the attention he/she deserves
Kwa hiyo wewe ulikuwa naye for the sake of being f****d au?
Kwa sie ma single lady jf inatusaidia kuepukana na stress za upweke.
Yeah! Mie ni singo and am still a virgin.
When English fails us...ndo umesema nini?Yap its true social media they make us busy even we forget the necessities of the two being the same like mikasi and so on
nahh,dont get it twisted..nlimpenda and niliintaka tuwe tunapiga stori kw wingi na kuongea mambo ya kimaendeleo but huo muda kwake haukuwa A PRIORITY bbm,insta,fb nk was,..and bad enough anaanza kukuonyeshea other girls anaochat nao huko nk,oh mara some chick is hot cjui nini,sasa wa kazi gani mtu kama huyu....kila saa had uchukue cm yake uweke pembeni,ts obvious karibu kila mtu yupo kwny moja au zaid ya social networks bt jaman dharau ukizidisha KBUTI KITAKUHUSUUU..TENA KWEUPEE
Utapiga vibut wangap dada angu...maana cku iz social ntwrks adi zinaboa......kila mtu busy na sim ake...akimwaga ugal mwaga mboga...tuone anajiskiaje akikuongelesha we uko busy na sim...