the locksman
JF-Expert Member
- May 5, 2012
- 1,105
- 357
wakuu muda mrefu nimeshindwa kupata access ya jf forum karibia mwezi na wiki sasa,vip kuna tatizo gani,nimejaribu mitandao yote ya simu imeshindikana.nikijaribu ina load mud mrefu sana halafu haimalizi.
msaada kwa anae jua nifanyeje
mkuu unatumia samsung au nokia java nini? Maana zina worst built in browser sjapata ona.
Jaribu kudownload operamini kama huna then tumia ku access jf
mbona kala kona msaidiwa mwenyewe..
natumia samsung GT-C5212imkuu unatumia samsung au nokia java nini? maana zina worst built in browser sjapata ona.
jaribu kudownload operamini kama huna then tumia ku access jf
natumia samsung GT-C5212i
Situmii hiyo app ila ingekuwa na option ya kuzima JS ingesaisia pale user anakuwa na slow speed Internet!pia nna wasiwasi jf desktop version, inaload alot of javascripts au script zingine zinafanya site iwe nzito kufunguka, mpaka uwe na spidi kubwa ya internet, ila kwenye mobile sijakutana kitu kama kuwa slow au kukwama
Tafuta muda usiku sana au asubuhi muda ambao watu wengi hawatumii net ingia website hii
m.opera.com
Then download operamini hio ndo itakufanya ufaidi internet.
Alternative kama una usb download kies pc suite ya samsung then kwa kutumia hio download opera kwa pc na kuihamisha kwenye simu na usb