jf mobile

jf mobile

the locksman

JF-Expert Member
Joined
May 5, 2012
Posts
1,104
Reaction score
357
wakuu muda mrefu nimeshindwa kupata access ya jf forum karibia mwezi na wiki sasa,vip kuna tatizo gani,nimejaribu mitandao yote ya simu imeshindikana.nikijaribu ina load mud mrefu sana halafu haimalizi.
msaada kwa anae jua nifanyeje
 
mkuu unatumia samsung au nokia java nini? maana zina worst built in browser sjapata ona.

jaribu kudownload operamini kama huna then tumia ku access jf
 
Kama alivyokushauri Chief hapo juu hebu download HAPA version inayoendana na simu yako itakusaidia sana.
 
mkuu unatumia samsung au nokia java nini? Maana zina worst built in browser sjapata ona.

Jaribu kudownload operamini kama huna then tumia ku access jf

opera mini serve the best mkuu,jaribu though jf mobile naona wametuwekea rangi za magamba
 
pia nna wasiwasi jf desktop version, inaload alot of javascripts au script zingine zinafanya site iwe nzito kufunguka, mpaka uwe na spidi kubwa ya internet, ila kwenye mobile sijakutana kitu kama kuwa slow au kukwama
 
natumia samsung GT-C5212i

Tafuta muda usiku sana au asubuhi muda ambao watu wengi hawatumii net ingia website hii

m.opera.com

Then download operamini hio ndo itakufanya ufaidi internet.

Alternative kama una usb download kies pc suite ya samsung then kwa kutumia hio download opera kwa pc na kuihamisha kwenye simu na usb
 
pia nna wasiwasi jf desktop version, inaload alot of javascripts au script zingine zinafanya site iwe nzito kufunguka, mpaka uwe na spidi kubwa ya internet, ila kwenye mobile sijakutana kitu kama kuwa slow au kukwama
Situmii hiyo app ila ingekuwa na option ya kuzima JS ingesaisia pale user anakuwa na slow speed Internet!
 
Kuna wakati nikitumia app ya jf inakua noma....
 
ni kweli,nimehangaika sana ku-download nimeshindwa.
ngoja nisubiri huo muda nijaribu.nikifanikiwa nitaleta feedback
 
Back
Top Bottom