JF mmu EMBU TUWENI SERIOUS Hapa

JF mmu EMBU TUWENI SERIOUS Hapa

TAMKO,

Unataka kusema kwa kutumia hizo sex toys kama njia "MBADALA" ndiyo huna usaliti wa ndoa yako?

2. Unafhani mifatakano/tofauti ndani ya nyumba hasa zihusuzo mapenzi hutatuliwa(solved) kwa sex toys?

3. Kuna umaana gani ya kuwa na mke/mme na kuwa na sex toys?..au kwako ndoa ni nini?
 
Last edited by a moderator:
anayewala chabo naye mnapa la kushughulika nalo.

HAHAHAAAAAAAA! Ndoa za .com burudani! Usiku Mume anavuta Doli lake kabatini anaanza kulishughulikia Mke nae anavuta zana zake!

Hahahaaaaaaaaa! Sipati picha ikitokea mtu awale chabo!
 
Mnakana asili mungu aliyowaumbia ya uke na uume, mnataka vitu bandia....hi dunia ya leo tabu kweli kweli, watu wanapenda dini bandia, simu bandia, mademu bandia, makalio bandia, sura bandia, ngozi bandia, uume bandia, uke bandia, mwanamke/mwanaume bandia, tunakoenda tutakuwa na watoto bandia.
 
Nyakati za mwisho...bora hata freemason kuliko wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom