Daahhh..
mie niliona ambulance na gari la police
nashukuru Mungu bado nahema..
easter yangu ilikiwa chachu la kini
ilibadilika kuwa tamu baada ya ndugu
jamaa na marafiki kunisaidia hapa na pale..
na shukurani zangu ziende kwa wana JF
walionipigia mnajijua . Mungu awabariki sana..
Na ninawapenda wote..
pole sana dadaa! ubarikiwe pia!
Habari ya mapumziko wana jf? Habari ya Easter, Tumesherehekea vipi? Tume enjoy? Hebu tupeane stori kidogo maana ilikuwa ni Long week end! Na matukio lazima yalikuwepo. Mimi ilikuwa nzuri saana ila kidogo ma ATM yalitaka yaniumbue sehemu nyingi miamala ilikuwa inasumbua. Madimbwi ya maji nayo yaliharibu kdg.
Elia it seems ulitumia sana eeh, hope hujamaliza zoote. To me it was a very long weekend, familia yangu yote haikuwepo. Kweli nilipumzika kimajukumu nikaishia kuangalia movies. Alaf jamani kwa yeyote ambae amengalia London Boulevard ya Farell & keira naomba kujua pale mwisho ikoje - Jamaa kafa au? mana its killing me not knowing.
Nilikuwa busy sana na JF hadi wakati mwingine nilisahau kula
Hii ikopoa mydear! nilidhani ulilala tu maana kihali ya hewa Bongo kilikuwa condyusivu