Saalam wakuu.
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifikisha pale nilipokuwa napatumania kwa mda mrefu!!
Nachukua nafasi hii kuwakaribisheni nyote wana jukwaa hili pamoja na uongozi wote wa JF katika ARUSI yangu itakayofanyika nyumbani kwetu Bukoba tarehe 20-Dec-2013.
Kwa watakaokuwa tiyari kuhudhuria mnaweza kuni-PM (kwa lengo jema) kwa ufafanuzi zaidi.
KARIBUNI SANA!!!
STIDE.
Ukumbi upi? na je tunachangia kiasi gani kufanikisha harusi yako?
Hongera......mungu akujaalie ndoa yenye kheir na baraka...
hAJAOMBA MCHANGO AMETOA MWALIKO!!
Jameni sio lazima aeleze kila kitu, changanyeni na zenu!sio kila mwaliko unatoa mchango
Jameni sio lazima aeleze kila kitu, changanyeni na zenu!
Harusi ni gharama, shikeni hata 20K, itampunguzia ukame wa siku japo mbili!
Saalam wakuu.
Nianze kwa kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa kunifikisha pale nilipokuwa napatumania kwa mda mrefu!!
Nachukua nafasi hii kuwakaribisheni nyote wana jukwaa hili pamoja na uongozi wote wa JF katika ARUSI yangu itakayofanyika nyumbani kwetu Bukoba tarehe 20-Dec-2013.
Kwa watakaokuwa tiyari kuhudhuria mnaweza kuni-PM (kwa lengo jema) kwa ufafanuzi zaidi.
KARIBUNI SANA!!!
STIDE.
dah mwalimu wangu hadi uoe!!
dah mwalimu wangu hadi uoe!!
Hahahahaaa!
Kaka itabidi tumtakie tu safari njema!!!
...
Si wengine magari yetu mabovu hayahimili safari ndefu!!!!