Teja Junior
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 1,740
- 1,597
Nilitaka kushangaa, ladyfurahia usinitaje??
mtani ahahahhahhaha sio hilo banaaa lilikuwa linaanza na kiduturlowk sijui yule dogo wa usalama wa taifa na mke wa mkataba!unamkumbuka?
hebu bandika tangazo la hilo deal mtani!mi naona id zinazotajwa hapa watu wameissahau ile!Hahah hilo jina nalikumbuka kwa kichwa ila siwezi kuliandika hata unipe midolaree
Kuna mwingine alikuwaga anaitwa kijambio sijui siku hizi kaishia wapi?Hahah hilo jina nalikumbuka kwa kichwa ila siwezi kuliandika hata unipe midolaree
Nilitaka kushangaa, ladyfurahia usinitaje??
Maana hata ndotoni unaweweseka jina langu, sijui ukiolewa hali itakuwaje?

Ha ha ha.. Ni mahaba tu hayo Bujibuji..
yani unasemaje ndugu?