[emoji23][emoji23]Ndo hivyo mkuu, ukishaingia kwenya jamii ya wana jf, kitu cha kwanza ni kuvaa uhusika wa utajiri, bila hivyo utajikuta unapuuzwa na kudharauliwa mpaka ushangae. Si unaona jinsi ambavyo
Lumumbashi alivyo na pesa kiasi cha kumfufua mkewe na kufunga nae ndoa ya pili[emoji23][emoji23]