Kanungila Karim
JF-Expert Member
- Apr 29, 2016
- 20,746
- 25,672
Naanza na hawa hapa:God is good all the time, All the time....(don moen).
Humu ndani kuna vijana wanatupiga za uso nyingi sana. Mpaka sasa nimeshawakariri members 21 (kwa Id zao), hawa watu ni waongo, ninaposema ni waongo ujue ni waongo kweli kweli (standard gauge). Ni kweli mnafurahisha na kuchangamsha lakini mnazidisha!
Kuna mtu anakuja na stori yake ya kujitungia tungia tu, halafu anavaa uhusika yeye mwenyewe, mwisho wa siku (tena siyo mwisho wa siku, kesho yake) utoana analeta mada nyingine ambayo ukilinganisha na ile ya kwanza, hazileta picha kabisaa!
Kama unajijua unakuja hapa kufurahisha (uongo) na huwezi kukumbuka ulisema/utasema nini kwenye nyuzi zako, basi tumia nafsi ya mtu mwingine ~yeye, ali, wao n.k, siyo "Mimi" nikawasha gari langu nikaondoka (mfano lakini) halafu mwisho wa siku unakuja hapa kulalamikia "ajira".
Kwani hilo gari ni la mkopo? Ok ngoja ninyamaze ili kuepuka shambulio na mkija kivingine, naanza kuwataja mmoja baada ya mwingne, si nawajua!
wewe ndie darasa la 7c kabisaPeleka ujinga wako wa darasa la 7B mkajadiliane na wajinga wenzio. Sisi wajinga wenye PhD zetu ujinga wetu tunaujua wenyewe
Achana na sisi matajiri. we endelea na umaskini wako.wewe ndie darasa la 7c kabisa
PhD haina sifa kama hizi, vingnevyo hauitendei haki
hahaha vijana wanaishi ndoto hewaHumu kuna chai kinoma leo mtu anaweza kukupa ushauri wa biashara ya magari na anakusisitizia yeye ndio biashara anayoifanya mpaka kajenga ghorofa mbili Mbezi,halafu wiki ijayo anajisahau anaanza kuulizia duka gani zuri kwa spare za guta lake analouzia maji gongo la Mboto maana limeharibika anashindwa kupata pesa ya kula!! Yaan vurugu tupu
hilo ni shart no #1 !!Ukiwa muongo muongo hakikisha usiwe msahaulifu.
tajiri wa jf! aya bwanaAchana na sisi matajiri. we endelea na umaskini wako.
Njoo nikuajiri kwenye mojawapo ya showrooms zangu.... Mshahara mnono kabisatajiri wa jf! aya bwana
sina shda nawe
[emoji3][emoji3][emoji3] umeifanya friday yanguHumu kuna chai kinoma leo mtu anaweza kukupa ushauri wa biashara ya magari na anakusisitizia yeye ndio biashara anayoifanya mpaka kajenga ghorofa mbili Mbezi,halafu wiki ijayo anajisahau anaanza kuulizia duka gani zuri kwa spare za guta lake analouzia maji gongo la Mboto maana limeharibika anashindwa kupata pesa ya kula!! Yaan vurugu tupu
Wengi wao ni watoto wadogo tuGod is good all the time, All the time....(don moen).
Humu ndani kuna vijana wanatupiga za uso nyingi sana. Mpaka sasa nimeshawakariri members 21 (kwa Id zao), hawa watu ni waongo, ninaposema ni waongo ujue ni waongo kweli kweli (standard gauge). Ni kweli mnafurahisha na kuchangamsha lakini mnazidisha!
Kuna mtu anakuja na stori yake ya kujitungia tungia tu, halafu anavaa uhusika yeye mwenyewe, mwisho wa siku (tena siyo mwisho wa siku, kesho yake) utoana analeta mada nyingine ambayo ukilinganisha na ile ya kwanza, hazileta picha kabisaa!
Kama unajijua unakuja hapa kufurahisha (uongo) na huwezi kukumbuka ulisema/utasema nini kwenye nyuzi zako, basi tumia nafsi ya mtu mwingine ~yeye, ali, wao n.k, siyo "Mimi" nikawasha gari langu nikaondoka (mfano lakini) halafu mwisho wa siku unakuja hapa kulalamikia "ajira".
Kwani hilo gari ni la mkopo? Ok ngoja ninyamaze ili kuepuka shambulio na mkija kivingine, naanza kuwataja mmoja baada ya mwingne, si nawajua!
haina haja, hyo nafasi wape vijana wa karibu yako itapendeza sana.Njoo nikuajiri kwenye mojawapo ya showrooms zangu.... Mshahara mnono kabisa
Basi acha niwasaidie vijana maskini wenye uhitaji. Na Mungu atanibariki niende mbingunihaina haja, hyo nafasi wape vijana wa karibu yako itapendeza sana.
location tafadhali
Sahih kbsa mmoja wao NiGod is good all the time, All the time....(don moen).
Humu ndani kuna vijana wanatupiga za uso nyingi sana. Mpaka sasa nimeshawakariri members 21 (kwa Id zao), hawa watu ni waongo, ninaposema ni waongo ujue ni waongo kweli kweli (standard gauge). Ni kweli mnafurahisha na kuchangamsha lakini mnazidisha!
Kuna mtu anakuja na stori yake ya kujitungia tungia tu, halafu anavaa uhusika yeye mwenyewe, mwisho wa siku (tena siyo mwisho wa siku, kesho yake) utoana analeta mada nyingine ambayo ukilinganisha na ile ya kwanza, hazileta picha kabisaa!
Kama unajijua unakuja hapa kufurahisha (uongo) na huwezi kukumbuka ulisema/utasema nini kwenye nyuzi zako, basi tumia nafsi ya mtu mwingine ~yeye, ali, wao n.k, siyo "Mimi" nikawasha gari langu nikaondoka (mfano lakini) halafu mwisho wa siku unakuja hapa kulalamikia "ajira".
Kwani hilo gari ni la mkopo? Ok ngoja ninyamaze ili kuepuka shambulio na mkija kivingine, naanza kuwataja mmoja baada ya mwingne, si nawajua!
Anzisha list tutakusaidia kuongeza tunawajuaGod is good all the time, All the time....(don moen).
Humu ndani kuna vijana wanatupiga za uso nyingi sana. Mpaka sasa nimeshawakariri members 21 (kwa Id zao), hawa watu ni waongo, ninaposema ni waongo ujue ni waongo kweli kweli (standard gauge). Ni kweli mnafurahisha na kuchangamsha lakini mnazidisha!
Kuna mtu anakuja na stori yake ya kujitungia tungia tu, halafu anavaa uhusika yeye mwenyewe, mwisho wa siku (tena siyo mwisho wa siku, kesho yake) utoana analeta mada nyingine ambayo ukilinganisha na ile ya kwanza, hazileta picha kabisaa!
Kama unajijua unakuja hapa kufurahisha (uongo) na huwezi kukumbuka ulisema/utasema nini kwenye nyuzi zako, basi tumia nafsi ya mtu mwingine ~yeye, ali, wao n.k, siyo "Mimi" nikawasha gari langu nikaondoka (mfano lakini) halafu mwisho wa siku unakuja hapa kulalamikia "ajira".
Kwani hilo gari ni la mkopo? Ok ngoja ninyamaze ili kuepuka shambulio na mkija kivingine, naanza kuwataja mmoja baada ya mwingne, si nawajua!
Lako ni aina gani tena?Haya magari haya🤔🤔