Jf members mna kesi??

Mzazi wako yeye ndo alikupa hilo jina la "Deejay" au umelitoa wapi?
 
Nchi yetu imeoza ukitoa dukuduku lako la ukweli kwa jina lako halisi.... Duh jiandae kuwa-mwakyembed au kukolimbiwa
 
Mzazi wako yeye ndo alikupa hilo jina la "Deejay" au umelitoa wapi?

no! Ila hakuna cha ajabu m2 kuitwa deejay au dj.Ni jina la kazi 2 kama yalivyo majina ya teacher,police,docta nk, sasa wewe ukisikia jina kama kashorobana utaelewa nini?? Au jina hl mbu dume
 
Ndo maana mi natumia langu la ukweli linalomaanisha "kachawa kamefichwa".
 
Polisi wenyewe hawa
POLICE.jpg
 
Najiuliza sana kuhusu majina yenu memberz wa jf,yaani sijui yana asili ya wapi.Majina Ya ajabu ajabu ahahahahaha au mna kesi polisi mnaogopwa kukamatwa??

acha kubadili au kutohoa uzi za watu aisee mkuu niaje pitia nyuzi humu lazima utaiona hiyo idea yako..
 
Hapa ni masuala ya hoja.. na si majina.. JF mods wana details za kila mtu kwa hio wewe mwaga sera na hoja. usisahau " ndege wenye rangi zinazofanana huruka angani pamoja"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom