Kosa lake ni kukimbia wakati watu wamekufa na kurudi badaekama kwa akili ndogo tuu ya darasa la 3 B umeshindwa kujua kama mwaiposa hana kosa, bc mtoa mada ni mzigo wa taifa.
hakuna kilichotabiriwa ila ni lazima ingekuwa hvy.
Ha ha mwamposa kabebwa hkama kwa akili ndogo tuu ya darasa la 3 B umeshindwa kujua kama mwaiposa hana kosa, bc mtoa mada ni mzigo wa taifa.
hakuna kilichotabiriwa ila ni lazima ingekuwa hvy.
Sio na wewe nimshana kwa new ID!?
Mwamposa kabebwa ndio mambo ya kafarakama kwa akili ndogo tuu ya darasa la 3 B umeshindwa kujua kama mwaiposa hana kosa, bc mtoa mada ni mzigo wa taifa.
hakuna kilichotabiriwa ila ni lazima ingekuwa hvy.
Sasa huyo mtabiri mwamposa mbona kashindwa kutabiri watu watakufa yeye si ndio mtabiri.Hizi ndio akili tunazozitegemea kama taifa....kuchanganua mambo madogo tu hivi unategemea utabiri lol! Tutegemee zaidi wafuasi wa misukule kila wanapoibuka...
Kufanikiwa kwa taifa hili kunategemea sana kujitambua kwa watu wake..
Wacha muendelee kushikwa ufahamu tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea sana tena reference ya vitu usivyovijua!Mi naamini katoa kafara roho 20.
Bushiri au major 1 watu kibao walikufa.
Tb joshua watu kibao.
Inaelekea Mwamposa anataka kuwa wa kimataifa sio level ya akina Upako, Suguye na Gwajima.
Subirini tutaona
Yule Kenge Kabebwa ile kesi