Sipo JF-Expert Member Jul 25, 2008 2,139 91 Feb 11, 2010 #21 Msanii said: Sipo usiseme hivyo maana anaweza akaja mtu ukampa majukumu halau ukaenda sabbatical ukirejea unaanza kulia kwanza. teh teh. Click to expand... ila kweli Msanii
Msanii said: Sipo usiseme hivyo maana anaweza akaja mtu ukampa majukumu halau ukaenda sabbatical ukirejea unaanza kulia kwanza. teh teh. Click to expand... ila kweli Msanii
Luteni JF-Expert Member Jan 9, 2010 2,274 302 Feb 11, 2010 #22 FirstLady1 said: oops ngoja nikasajili ka Binti kangu Michelle kataikuta ID 16000 kakikuwa Click to expand... Ikiwa ana mwaka mmoja hadi afikishe uwezo wa kutumia kee bodi hiyo ID itakuwa idle au utatumia zote mwenyewe nitamwambia Invisible
FirstLady1 said: oops ngoja nikasajili ka Binti kangu Michelle kataikuta ID 16000 kakikuwa Click to expand... Ikiwa ana mwaka mmoja hadi afikishe uwezo wa kutumia kee bodi hiyo ID itakuwa idle au utatumia zote mwenyewe nitamwambia Invisible
Cynic JF-Expert Member Jan 5, 2009 5,144 1,648 Feb 12, 2010 #23 JF si ni NGO kinamna? Ajiokeze mmoja wetu agombee ubunge kupitia NGO. Watu 16,000 ni constituent kubwa mno.
JF si ni NGO kinamna? Ajiokeze mmoja wetu agombee ubunge kupitia NGO. Watu 16,000 ni constituent kubwa mno.
Bazazi JF-Expert Member Aug 18, 2008 2,806 3,476 Feb 12, 2010 #24 Invisible said: I have a Multiple-ID detector; akiwa ni duplicate nitam-delete mkuu Click to expand... . Mkuu nitaijaribu hiyo mechanism yako nione effective yake
Invisible said: I have a Multiple-ID detector; akiwa ni duplicate nitam-delete mkuu Click to expand... . Mkuu nitaijaribu hiyo mechanism yako nione effective yake