JF Mathematics clinic Special thread

JF Mathematics clinic Special thread

Leak

Platinum Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,939
Reaction score
43,569
Wasalaam wana jf!
Sote tunajua hesabu umekuwa ugonjwa wa taifa kama si ugonjwa wa dunia!Hili limekuwa tatizo kubwa kwa kuwa hakuna misingi ya kuwa fanya watu wapende somo hili na hata hivyo ni wachache wanao jishughulisha kufanya hesabu kama mazoezi hata kwa kufanya hesabu rahisi!

Jf mathematic clinic special thread nimeaianzisha makusudi hili watu waitumie kukumbushana,kufunzana,kuelezana,kuelekezana jinsi ya kufanya maswali mbali mbali ya hesabu.

Sote tunajua fika hesabu huchangamsha ubongo na hesabu ni afya!Hivyo hapa itakuwa sehemu ambapo watu watakuwa wanaweka maswali na kupata majibu kutoka kwa wanaoweza kuyapatia suluhu au majibu!

NB:Hii si thread ya mashindano bali itumike kama sehemu ya watu kujifunza na kujaribu kila mtu atakuwa huru kuuliza maswali kuhusu hesabu na kila mtu atakuwa huru kufanya swali husika pia kukokosa penye makosa!

Naomba kwenye thread hii tusi chit-chat.na kama tuki chit chat basi maongezi yata husu hesabu..lakini ingependeza hesabu!

Kwa kuanzia hili kuweka mzizi wa thread hii nitaweka maswali matano rahisi ambayo yeyote ataruhusiwa kuya solve na mtindo utakuwa ni kusolve maswali yanayo letwa na kuweka maswali ya kusolve pia kuhoji kuhusu majibu yanayo tolewa..
Pia ni vyema mkazingatia kuonesha njia zaidi ambayo imetumika kupata jibu ili kila mtu aweze kuelewa!
QESTIONS
Qn .1) Three pipe A,B and C.it takes pipe A and B 10 Minutes to fill tank and it takes pipe C 10Min to empty it. How many min will takes A,B and C to empty it if all pipes are open at the same time?

Qn.2) 3+3=Y tafuta Y

Qn.3) rahisisha (9-0)(9-1)(9-3)(9-4)______(9-n)

Qn.4)Tafuta namba inayo kosekana
5,_,1205,_271205,_

Qn.5) (9-0)(9-1)(9-3)..........
 
ukimya usikutishe mkuu watu tupo busy tunakokotoa majibu yako utayapata muda si mrefu
Njia iliyotumika pia inahitajika ili watu waelewe
 
Mkuu labda niulize, una msingi mzuri wa hesabu?

Mkuu kama umesoma thread hii yote hukupaswa kuuliza swali hili! Hii thread ni kwaajili ya watu kujifunza! Mimi si mtaalamu wa hesabu..lakini naamini thread hii itakuwa msaada kwa wengine..hasa wanaopenda kujifunza hesabu na wenye uhitaji wa kujifunza!

Mkuu karibu utusaidie kutatua hayo maswali mimi sina majibu..lakini naamini jukwaa lina watu wengi ukikosea watarekebisha ..
 
Ruttashobolwa,

Idea yako ni nzur mkuu, but changamoto iliyopo ni kwamba platform hii haisupport features nyingi za ki-mathematics, na hata kama mtu akiamua kutumia math symbols zilizoko kwenye keyboard ya simu yake ataishia kuandika just those common ones,

otherwise unge-state the targetted group la kushiriki katika maada za humu, i.e. either O-level, A-level, Chuo kikuu n.k.
 
Last edited by a moderator:
jibu la swali la pili 3+3=6 kwahiyo thamani ya y ni 6 kwasababu ukiwa na chale iii+ na chale iii zingine ukihesabu chale zote kwa ujumla unapata chale 6
 
Ruttashobolwa nakuomba mkuu ufafunue vizur swali la 4, nikujaza nafasi ambazo umeweka alama (_) hiyo kwenye mabano au sijakuelewa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Shyland unatakiwa kujaza pale palipo na alama _ yani kuna namba imekosekana hapo!

[MENTION=71917]Ruttashobolwa[/

MENTION] nakuomba mkuu ufafunue vizur swali la 4, nikujaza nafasi ambiazo umeweka alama (_) hiyo kwenye mabano au sijakuelewa
 
Last edited by a moderator:
Mkuu praatt natambua changamoto zilizopo lakini naamini kuna njia nyingi ambazo mtu anaweza kuzitumia kwa mfano unaweza kusolve kwenye karatasi na ukapiga picha na kutuwekea hapa kama swali litakuwa linakosa symbols humu!

Kuhusu target group hapa hakuna target group bali kila group ni lengwa maana kinacho fanyika ni mtu kuweka hesabu au swali na watu wanao jua wana solve.... hii thread ni ya wote kila swali kuhusu hesabu linaweza hulizwa na wanao fahamu wanaweza toa ufafanuzi..

Ruttashobolwa,

Idea yako ni nzur mkuu, but changamoto iliyopo ni kwamba platform hii haisupport features nyingi za ki-mathematics, na hata kama mtu akiamua kutumia math symbols zilizoko kwenye keyboard ya simu yake ataishia kuandika just those common ones,

otherwise unge-state the targetted group la kushiriki katika maada za humu, i.e. either O-level, A-level, Chuo kikuu n.k.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu jibu la kwanza ni 3.333,kwa kuwa hiyo ni figure inayoweza ku solve time+capacity of 10÷3.mimi ni mbumbumbu #1 wa hesabu!!hivyo msinicheke please,maths is our natural calamity.
 
Mkuu nemependa ufafanuzi wako..
jibu la swali la pili 3+3=6 kwahiyo thamani ya y ni 6 kwasababu ukiwa na chale iii+ na chale iii zingine ukihesabu chale zote kwa ujumla unapata chale 6
 
Mkuu hapa hakuna wa kukucheka wala hatushindani ......watu watapitia kama wenye kukuchallange jibu lako wata kuchallange endelea kusolve usijali ambaye ana pingana na jibu lako atasema!
Mkuu jibu la kwanza ni 3.333,kwa kuwa hiyo ni figure inayoweza ku solve time+capacity of 10÷3.mimi ni mbumbumbu #1 wa hesabu!!hivyo msinicheke please,maths is our natural calamity.
 
Back
Top Bottom