donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,047
- 21,519
Ni mwendo wa.kubrowse tu wakuu maana sina hata lepe la usingizi...
Mbona hujauliza swala la kutype.Ivi huwa unascroll kwa remote au
Mbona hujauliza swala la kutype.
Natumis ps pad mkuuIvi huwa unascroll kwa remote au
Password zimeonekana mkuu hapo ngoja tuingie.
Si dhumni mkuu, lengo ni kuonesha kwamba jf imekua addictionMkuu naona unatuonesha flat hapoo
Shukran mkuu sema nimeiset ivo kwaajili ya better gaming experienceMkuu badilisha aspect ratio ya tv ili ufaidi view nzur zaidi
KabisaBila shaka anatumia PAD za Game
Mkuu na wew popo leo?Kumbe tupo wengieeee
Aisee,niaje master? Ulipotea kidogo anga hizi mkuu?Mbabe mwenyeweeee hahaaaa nakuona
Kabisa
Natumia wireless internet mkuuNipe maujanja ya kuunganisha muzee