uishike na ikae akilini!we unasema wanini wenzio wanasema watampata lini!Habari za wakati huu wadada.... Leo nataka nizungumze nanyi,hivi hi tabia ya kumuachia housegirl kila kazi ya nyumbani imetoka wapi hii ? Unamuachia hadi kazi ya kutandika kitanda unacholala na mumeo! asubuhi unakurupuka tu kurupu unaenda kazini, binti aje akutandikie kitanda na kama ndo MR sikuhyo hajaenda kazini basi ndo dada wa kazi ampikie chai,amuwekee maji kwa bafu,ampasie nguo,hivi huyo binti akimilikiwa na mumeo utamlaumu nani? Umetoka kazin eti madai yako umechoka chakula cha jioni anapika huyohuyo housegirl,hivi kweli unaitakia mema ndoa yako?ujui mumeo anakula nini usiku binti wa kazi ndo anapanga chakula cha mumeo.... Hivi kwenye kitchen party hukufundwa? Jirekebisheni mliopo kwenye ndoa na usiombe ukutane na housegirl stadi mumeo atafuliwa mpaka boxer na wewe utabaki tu kusema nimeibiwa mume jamani! shauri yako jirekebishe usilalamike kuibiwa mume mdada.
mwanafyale housegirl afanye kila kitu mke akiwa wap?umemuoa ili kuilea familia wewe ni 1 ya familia yake, kwahyo ni majukumu yake.basi wewe ni unique upo tayari kila siku kula chakula cha dada wa kazi, cha mkeo utakula lini?au ndo mpaka ajisikie kukupikiaMimi kila kitu knafanywa na housegirl, na sijawahi kumtamani hata cku moja. Nimekamilika kiakili, mke ni mke na housegirl ni housegirl. Full stop
Huyo mwanaume kama ni kitombi atakuwa kitombi tu!!!!
hayo mengine ni kumsingizia shetani.........
Yule nimemuoa kwa ajili ya mambo mengine, chakula hata hotelini nakula. Tatizo lenu nyie mnadhani kujifanya watumwa kwa waume zenu ndio mtazuia vidumu. Mke wangu ni mwenzangu na sio mtumwa wangu. Lol!mwanafyale housegirl afanye kila kitu mke akiwa wap?umemuoa ili kuilea familia wewe ni 1 ya familia yake, kwahyo ni majukumu yake.basi wewe ni unique upo tayari kila siku kula chakula cha dada wa kazi, cha mkeo utakula lini?au ndo mpaka ajisikie kukupikia
Mimi kila kitu knafanywa na housegirl, na sijawahi kumtamani hata cku moja. Nimekamilika kiakili, mke ni mke na housegirl ni housegirl. Full stop
chukua nafasi yako kama mwanamke,fanya ya mumeo kwa ajili ya familia na si kumtegemea dada wa kazi!najua itawatouch watu hapa na opposers watatokea wengi
Mimi kila kitu knafanywa na housegirl, na sijawahi kumtamani hata cku moja. Nimekamilika kiakili, mke ni mke na housegirl ni housegirl. Full stop
Kaka sijakuelewa, unanisuport au unasuport main thread?Akili ni nywele.......... kwa hiyo wewe sio standard ya kila mwanaume. Kila mtu ana akili zake, na pia mapungufu yake. Mleta uzi ameleta jambo la muhimu ambalo kila mmoja kwa nafasi yake atalinyia kazi.
To me, siwezi kuruka na hause girl wangu, ni bora nikatafute huko nje.
chukua nafasi yako kama mwanamke,fanya ya mumeo kwa ajili ya familia na si kumtegemea dada wa kazi!najua itawatouch watu hapa na opposers watatokea wengi