Chugga hoyeeee! nawatakia kila la kheri dada zangu, ila mabaya msiletee nyumbani.Kama kichwa cha habari kinavyosema........nimewaza kwa nguvu........nia na dhumuni ni kusocialize.....YES.....
Kama wanawake........tunahitajiana kwa njia moja au nyingine.......katika maswala mbalimbali.......kwa hiyo......nimeonelea....nilete wazo hili kwenu ili tulichambulie hapa hapa.....tupeane mawazo hapa hapa......na tuamue hapa hapa.......nyie mnaonaje.......?
Ipo hivi.......wazo ni kukutana kwa dinner mahali tutakapochagua.....tarehe tutakayo taka....lakini mwezi ni December.......tuzungumze mambo yetu......wenye biashara waziweke mezani.......wenye kuhitaji ideas......tubadilishane mawili matatu......wengine wanataka kuwa wajasiriamali.......tuoneshane fursa zilizopo katika hilo.....huna kazi......labda kuna anayejua mahali palipo na kazi akakusaidia.......na hata wengine hawajaolewa...(tuna kaka zetu hawajaoa).....cc Smile........nk..nk...nk.....
Sasa basi.......nyie wooooote mliopo Chugga na mikoa ya jirani....mnakaribishwa.....mtoe mawazo yenu.......
Binafsi nina mawazo yangu....bali nitachanganya na yenu ili tuweze kwenda sambamba.......na bila kusahau....nitasimamia show nzima ya maandalizi msiwe na wasiwasi.......
MUHIMU.....
WANAUME HAMRUHUSIWI........msijaribu hata kuchungulia.......kama una mkeo utamdrop uchape lapa..........
Asanteni.......
Uko juu.​ila kusahau Mimi ni single- naomba unipigie promo hukoKama kichwa cha habari kinavyosema........nimewaza kwa nguvu........nia na dhumuni ni kusocialize.....YES.....
Kama wanawake........tunahitajiana kwa njia moja au nyingine.......katika maswala mbalimbali.......kwa hiyo......nimeonelea....nilete wazo hili kwenu ili tulichambulie hapa hapa.....tupeane mawazo hapa hapa......na tuamue hapa hapa.......nyie mnaonaje.......?
Ipo hivi.......wazo ni kukutana kwa dinner mahali tutakapochagua.....tarehe tutakayo taka....lakini mwezi ni December.......tuzungumze mambo yetu......wenye biashara waziweke mezani.......wenye kuhitaji ideas......tubadilishane mawili matatu......wengine wanataka kuwa wajasiriamali.......tuoneshane fursa zilizopo katika hilo.....huna kazi......labda kuna anayejua mahali palipo na kazi akakusaidia.......na hata wengine hawajaolewa...(tuna kaka zetu hawajaoa).....cc Smile........nk..nk...nk.....
Sasa basi.......nyie wooooote mliopo Chugga na mikoa ya jirani....mnakaribishwa.....mtoe mawazo yenu.......
Binafsi nina mawazo yangu....bali nitachanganya na yenu ili tuweze kwenda sambamba.......na bila kusahau....nitasimamia show nzima ya maandalizi msiwe na wasiwasi.......
MUHIMU.....
WANAUME HAMRUHUSIWI........msijaribu hata kuchungulia.......kama una mkeo utamdrop uchape lapa..........
Asanteni.......
Yeyolai mi naomba kuwa NDIJEI eeeti.Kama kichwa cha habari kinavyosema........nimewaza kwa nguvu........nia na dhumuni ni kusocialize.....YES.....
Kama wanawake........tunahitajiana kwa njia moja au nyingine.......katika maswala mbalimbali.......kwa hiyo......nimeonelea....nilete wazo hili kwenu ili tulichambulie hapa hapa.....tupeane mawazo hapa hapa......na tuamue hapa hapa.......nyie mnaonaje.......?
Ipo hivi.......wazo ni kukutana kwa dinner mahali tutakapochagua.....tarehe tutakayo taka....lakini mwezi ni December.......tuzungumze mambo yetu......wenye biashara waziweke mezani.......wenye kuhitaji ideas......tubadilishane mawili matatu......wengine wanataka kuwa wajasiriamali.......tuoneshane fursa zilizopo katika hilo.....huna kazi......labda kuna anayejua mahali palipo na kazi akakusaidia.......na hata wengine hawajaolewa...(tuna kaka zetu hawajaoa).....cc Smile........nk..nk...nk.....
Sasa basi.......nyie wooooote mliopo Chugga na mikoa ya jirani....mnakaribishwa.....mtoe mawazo yenu.......
Binafsi nina mawazo yangu....bali nitachanganya na yenu ili tuweze kwenda sambamba.......na bila kusahau....nitasimamia show nzima ya maandalizi msiwe na wasiwasi.......
MUHIMU.....
WANAUME HAMRUHUSIWI........msijaribu hata kuchungulia.......kama una mkeo utamdrop uchape lapa..........
Asanteni.......
Halafu mkitoka hapo muanze kusengenyana...oh flani sijui 'weaving' lake liko hivi....mara 'ah yule naye anajidai'.....mara sijui nani ana shepu kama Betina...mara bibi mwafulani kakaa kama Zena.....
Jukwaa wanawake wa kimasai.
Nimepotea njia walah
Preta unamsoma Nyani Ngabu hapa?Halafu mkitoka hapo muanze kusengenyana...oh flani sijui 'weaving' lake liko hivi....mara 'ah yule naye anajidai'.....mara sijui nani ana shepu kama Betina...mara bibi mwafulani kakaa kama Zena.....
hilo hatutalitilia maanani sana....kwa sababu kama mtu ameweza kuingia JF basi atakuwa ameelimika......
lakini mwisho wa siku.......mwanamke atabaki kuwa mwanamke tu..........no worries.....
Kama kichwa cha habari kinavyosema........nimewaza kwa nguvu........nia na dhumuni ni kusocialize.....YES.....
Kama wanawake........tunahitajiana kwa njia moja au nyingine.......katika maswala mbalimbali.......kwa hiyo......nimeonelea....nilete wazo hili kwenu ili tulichambulie hapa hapa.....tupeane mawazo hapa hapa......na tuamue hapa hapa.......nyie mnaonaje.......?
Ipo hivi.......wazo ni kukutana kwa dinner mahali tutakapochagua.....tarehe tutakayo taka....lakini mwezi ni December.......tuzungumze mambo yetu......wenye biashara waziweke mezani.......wenye kuhitaji ideas......tubadilishane mawili matatu......wengine wanataka kuwa wajasiriamali.......tuoneshane fursa zilizopo katika hilo.....huna kazi......labda kuna anayejua mahali palipo na kazi akakusaidia.......na hata wengine hawajaolewa...(tuna kaka zetu hawajaoa).....cc Smile........nk..nk...nk.....
Sasa basi.......nyie wooooote mliopo Chugga na mikoa ya jirani....mnakaribishwa.....mtoe mawazo yenu.......
Binafsi nina mawazo yangu....bali nitachanganya na yenu ili tuweze kwenda sambamba.......na bila kusahau....nitasimamia show nzima ya maandalizi msiwe na wasiwasi.......
MUHIMU.....
WANAUME HAMRUHUSIWI........msijaribu hata kuchungulia.......kama una mkeo utamdrop uchape lapa..........
Asanteni.......
Jukwaa wanawake wa kimasai.
Nimepotea njia walah
"Hakuna dhambi mbaya kama dhambi ya ubaguzi."
Preta hapo nimemnukuu Mwalimu Nyerere (RIP) tu. Nachapa lapa!
Wala sijachungulia
uwiiiii.....nilimaanisha kutumia internet.....