JF kungeruhusiwa matusi ningemtukana Ngeleja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF kungeruhusiwa matusi ningemtukana Ngeleja

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mizizi, Jun 6, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #1
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Jamani mnisamehe, kwani inaniuma sana, leo asubuhi nimeenda ferry nikanunua samaki wangu wa laki nikitegemea watanifikisha mwisho wa mwezi.

  Yani nimerudi mida hii samaki wote wameoza, ndani mnanuka, nauliza kulikoni naambiwa umeme ulikatika. Lakini kwa nini tunanyanyasika hivi?

  Kama ni mgao si wewe Ngeleja ulisema umeisha? Kama umejirudia mbona hujatoa tangazo la mgao?

  Nina hasira sana. Kwa kuwa hapa tz hakuna fidia juu ya hasara za namna hii basi ningeomba jf waruhusu hata kwa issue kama hizi tufidie kwa kuwatukana watu kama hawa.

  Yani humu kungeruhusiwa matusi ningemtukana sana Ngeleja
   
 2. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #2
  Jun 6, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mod naomba usinipige Ban, kwani mm ni mtu wa kipato cha chini sana, laki kuipoteza ni kama nimepoteza gari. Sina uwezo tena wakupata hiyo pesa kwa wakati huu
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jun 6, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,053
  Trophy Points: 280
  Ujumbe umefika na Ngeleja amekuelewa vizuri kabisa
   
 4. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #4
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Mkuu!!
  Pole sana nimecheka kwa masikitiko.
  Hiyo ilishawahi kitokea hata kwangu,
  Nyama, samaki na viungo vya mboga vyote vilioza...
  Dah pole sana tena sana
  Ndio hivyo waziri wa Nishati Boya tu hana analofanya zaidi ya kufuata na kutekeleza maagizo R.A
   
 5. Manyanza

  Manyanza JF-Expert Member

  #5
  Jun 6, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,446
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Please mods, msimpe BAN huyu jamaa na hii thread iacheni bila ku edit naamini mpaka kesho asbh wadau wadau watakua wametoa michango yao
   
 6. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,135
  Likes Received: 2,159
  Trophy Points: 280
  Wacha kumtusi anaendeshwa kwa remote huyo jamaa ukimtizama anatia huruma sana maana nafsi inamsuta jinsi Dhambi alizobeba zinakaribiana na za shetani...

  Vumilia tu mwanangukesha kupiga kofi shavu la kushoto mgeuzie shavu la kulia nalo alipige kofi... atakuelewa tu...
   
 7. Paw

  Paw Content Manager Staff Member

  #7
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 14, 2010
  Messages: 2,032
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  JF haiwezi kuvumilia yodi moja ya matusi.
  Tutumie lugha ya kistaarab tunapokuwa tunaelezea machungu yetu wakuu.

  Post ya kwanza na heading vipo edited
   
 8. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #8
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Huyu ngeleja sio mzalendo wa nchi hii, anasikiliza warabu na wahindi ndio anaendesha nchi yetu king'ombe ng'ombe! Ametutajia wamiliki feki wa dowansi, ametutajia mipango hewa ya umeme!

  Ngeleja jiulize ww mwenyewe nafsini mwako, unafanya kazi ya nani?
   
 9. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #9
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Hayo masamaki hata kama yangekuwa hayajaoza, vitamini na ladha nahisi vingeisha. Pole sana mizizi.
   
 10. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #10
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ni sawa mkuu unachosema, na tunaheshimu sana utaratibu wa humu, ila anachotufanyia huyu Ngeleja ni zaidi ya matusi! Ametufanya wa tz ni wajinga sana. Hapa wanakata umeme makusudi ili wakamilishe hilo dili lao la mitambo yao waliyoibadilisha jina. Ila mkae mkijua, hata muiite symbioni sijui nini, sisi tutaendelea kuijua kama richmond mpaka 2015.
   
 11. Mizizi

  Mizizi JF-Expert Member

  #11
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,266
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  asante mpenzi! Angalau kwa neno lako nimepata faraja
   
 12. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #12
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yaani hiyo nchi ni vichekesho.... hivi na wale wa*uni walochukua ile kitu ya do-ones si waliwasha mashine kimya kimya.. sasa umeme wao unaenda wapi kama si kuchota mpunga wa nchi kimya kimya!!!:confused2:
   
 13. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #13
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mpendwa ingekuwa hivo mbona nchi zilizoendelea wangekuwa na kwashakoo wote, kila kitu kina wekwa kwenye friji tena zaidi ya huo mwezi alokuwa aweke mizizi!!
   
 14. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #14
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  umefanya research eeh?
   
 15. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #15
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  karibu.
   
 16. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #16
  Jun 7, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Husninyo sikwambii kutoka hewani... ninajua ninachokisema... almost kila kitu nanunua kiko frozen!!
   
 17. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #17
  Jun 7, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  na afya yako ni nzuri kabisa?
   
 18. Nyange

  Nyange JF-Expert Member

  #18
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 25, 2010
  Messages: 2,180
  Likes Received: 229
  Trophy Points: 160
  Pole sana MIZIZI kwa yaliyo kupata! Nami yamenikuta! nimeunguliwa home theater system mpya ya sh.850,000 baada ya kutoka kuinunua nikiwa natest mara umeme ukakatika na kurudishwa, hata nyumbani haijakaa dakika 5!, nikapeleka kwa mafundi wa mitaani wakashindwa, na wakachomoa baadhi ya vitu, kupeleka kwa ajenti wa Natioanal panasonic mpaka leo sijafanikiwa, MPAKA LEO HII NASIKIA VIMIZIKI VISIVYO CHUJWA
  Nina uchungu mkubwa na TANESCO. Tangu mwaka 2002 wanaongelea umeme wa dharura!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
  ta nza ni a TUMELOGWA! tumebanwa na tunashindwa jinsi ya kujinasua! Serikalini kuna ubabaishaji mkubwa.
  NA NATANGAZA RASMI KUWA NCHI ZENYE MACHAFUKO ZILIANZA HIVI, MPAKA IKAFIKIA POINT WATU WAKAJIMWAGA BARABARANI KUDAI HAKI KWA NGUVU. SIKU ZAJA.
   
 19. Mr. Bigman

  Mr. Bigman JF-Expert Member

  #19
  Jun 7, 2011
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,843
  Likes Received: 621
  Trophy Points: 280
  we Ngeleja, si umo humu jamvini? Hebu jibu hoja haraka ili usiendelee kutukanwa kimoyomoyo.
   
 20. J

  Jasho la Damu JF-Expert Member

  #20
  Jun 7, 2011
  Joined: Mar 10, 2011
  Messages: 958
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  me ngoja nimtukane halafu wanipe ban.
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...