JF kuingia mkataba na Weakleaks?

JF kuingia mkataba na Weakleaks?

Revolution

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2008
Posts
1,429
Reaction score
1,762
Kuna tetesi kwamba JF inampango wa kuingia mkataba mnono na Bw. Julian Assange. Kwa mujibu wa tetesi hizi wadau wote kama revolution, Ivuga, MM, Maxeme Mello, Invisible, Maria Roza, Paka Jimmy, Husininyo,Jack Beur, Kisaa Kyafo, Mfukunyunzi,Rose1980,El Toro, Jasusi, Teamo,Baba Ubaya,Dena Amsi na wana JF wote watakuwa na uwezo wa kuchangia mada moja kwa moja na kubadilishana mawazo na bwana assange mwenyewe. Jamani hizi tetesi ni tetesi nzuri au mbaya?
 
As long as ni TETESI, ngoja waje wenyewe aidha WATHIBITISHE ama WAKANUSHE...
 
Mbona Mphamvu sijioni? Ina maana....
 
Huo mkataba mnono kuna posho!?
Ngoja maxence aje aseme vizuri.
 
Wikileaks, Mphamvu pia atachangia......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom